-->

Daily Archives: February 1, 2016

Shilole Asema Kuachana na Nuh Mziwanda Haku...

Post Image

Ngoma ya ‘Nyang’anyang’a’,Shilole alimuimbia aliyekuwa mpenzi wa Nuh Mziwanda kabla hawajaachana,anazungumzia kama hali hiyo inamzuia kuendelea na project yake ya wimbo huo. ‘’Hapana hainipi ugumu wowote kwasababu wimbo nimeimba bila kumtaja mtu jina ila nimesema nilimuimbia aliyekuwa mpenzi wangu Nuh Mziwanda,hakuna ambacho nishindwe kuendelea ku’promote’ wimbo wangu na hainipi ugumu wowote kabisa,’’Shilole. Cloudsfm.com

Read More..

Niliambiwa Sharo Milionea Ananiloga kwa Maf...

Post Image

Kitale a.k.a Mkude Simba ni mwigizaji/mchekeshaji Tanzania na amechukua sifa nyingi kutokana na zile sauti zake za kuchekesha na video fupifupi zilizotambaa Whatsapp akiigiza kama Teja, kwenye hii video hapa chini kaongea jinsi imani za kishirikina zilivyotaka kumkosanisha yeye na Marehemu Sharomilionea pamoja na mengi ya maisha. Kabla hujaitazama hii Interview pia ukumbuke kwamba Kitale […]

Read More..

Idris zikiisha pesa tuachie miss wetu -Ommy...

Post Image

Utani ni njia moja wapo ya kufikisha ujumbe kwa mtu kwa lengo la kumkumbusha au kumueleza jambo fulani, njia hiyo ameitumia msanii Ommy Dimpoz kufikisha ujumbe kwa Kupitia Account yake ya Instagram siku kadhaa zilizopita Ommy Dimpoz aliweka ujumbe ambao baadhi ya watu walihisi kwamba huenda mkali huyo alikuwa akifikisha ujumbe wa moja kwa moja […]

Read More..

Faiza wa ‘Sugu’ Aomba Radhi, Azindua Ki...

Post Image

MSANII wa filamu nchini, Faiza Ally, amezindua kipindi cha runinga kiitwacho ‘Stars’ ambacho kitakuwa kikizungumzia maisha yake. Akizungumza katika kipindi cha Friday night live kinachoongozwa na mtangazaji, Sami Misago, wakati akitambulisha kipindi hicho alisema kitaanza kuoneshwa Jumanne katika kituo cha Eatv na kitahusu maisha yake ya kila siku. “Kipindi changu kipya kitakuwa kikiitwa ‘Stars’ na […]

Read More..

Nilijinyima Kiasi cha Kuogopa Kula Chips Il...

Post Image

Msanii wa filamu na mjasiriamali, Salma Jabu aka Nisha amesema mafanikio aliyopata yametokana na kujinyima ambapo amedai ilifikia hatua alikuwa akishinda kwa kula mihogo huku akiogopa kula chipsi pesa zisije zikaisha.   Muigizaji huyo ambaye mpaka sasa ana filamu nane ambazo amezitoa kupitia kampuni yake ‘Nisha’s Film Production’, alikiambia kipindi cha Uhondo cha EFM kuwa […]

Read More..

Afya ya Johari Yashtua Wengi!

Post Image

KUNENEPEANA! Na ‘kuumuka’ kwa muigizaji wa muda mrefu, Blandina Chagula ‘Johari’ kumezua gumzo na mishangao kwa wadau wengi wa filamu na burudani huku wakihoji kwa undani mabadiliko hayo ya ghafla kwani siku chache zilizopita Johari alikuwa habari ya mjini kutokana na kudhoofika kwa afya yake. Wakizungumza na Amani hivi karibuni, baadhi ya mashabiki na wasanii […]

Read More..

Ndauka Asisitiza Elimu kwa Wasanii

Post Image

Staa wa filamu Rose Ndauka amewataka wasanii wenzake pamoja na mashabiki katika nafasi zao kuzingatia elimu ambayo ina umuhumu mkubwa katika suala zima la maendeleo. Rose amesema, kwa mtu yoyote kuendelea katika nafasi aliyopo ni muhimu kujituma kujifunza zaidi kwa upande wa sekta binafsi na sekta rasmi, ikiwa inafahamika pia kuwa elimu haina mwisho. Staa […]

Read More..

Hakuna Haja ya Korabo na Wanaijeria – JB

Post Image

MWIGIZAJI mkongwe katika tasnia ya filamu Bongo Jacob Stephen ‘JB’ amesema kuwa haoni sababu ya kuigiza filamu kwa kuwashirikisha wasanii wakubwa kutoka Naijeria au Ghana ili kupata sinema kubwa bali ni kutumia kampuni kubwa za filamu kutoka afrika ya Kusini kufanya nao kazi. “Hakuna haja ya kuwashirikisha wasanii kutoka Naijeria au Ghana ili kufanya filamu […]

Read More..