-->

Daily Archives: February 6, 2016

Mimba ya Wema Yamtia Uchizi Penny

Post Image

Mwanadada anayepiga dili la utangazaji kupitia Zouk TV ambaye aliwahi kuwa mpenzi wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Penniel Mungwilwa ‘Penny’ amefunguka kuwa mimba ya shosti wake, Wema Sepetu inampa ‘uchizi’ kwa kutamani kila kukicha na yeye anase ujauzito. Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi karibuni, Penny alisema kuwa hivi sasa karibia rafiki zake wote wana […]

Read More..

Wolper Awapigia Saluti Wabongo Huko Insta

Post Image

Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Jacqueline Wolper ameonyeshwa kushangazwa na baadhi ya wabongo kwenye mtandao wa instagram kwajinsi wanavyopenda kusukiongeza kwa kile mtu atakachokiandika. “Some people are just waiting for that sad news about you. May they wait till they perish mtu akifunguka kidogo mnajiongeza namnayoyajua dah kweli waTz insta mzungu alituletea sisi natujipigie makofi […]

Read More..

“Video Queens’ Wanataka Umaaruf...

Post Image

Hayo yameelezwa na wadau mbali mbali walipokuwa wakitoa maoni yao kuhusu wasichana wanaofanya kazi hiyo kwenye kipindi cha PlanetBongo kinachorushwa na East Africa Radio. “Mi naitwa Abduli naishi mwenge, kwangu mimi ninavyojua video models bongo kwa malipo hawalipwi vile wanavyopaswa, ila wanachokifaidi ni umaarufu kwa hiyo unakuta mtu anajitolea kufanya kazi na msanii fulani kwa […]

Read More..

Nampenda Yemi Alade Ila Sina Namba Zake ...

Post Image

Juma Nature ameyasema hayo katika kipindi cha PlanetBongo kinachorushwa na East Africa Radio, na kusema kwamba anamkubali sana msanii huyo kutoka Nigeria, ambaye ameimba wimbo wake wa Nagode kwa lugha ya kiswahili. “Nataka nimalize kabisa na Yemi Alade, yeye ni msanii ambaye anaweza sana Afrika, anajua muziki kinyama, nikikaa nyumbani na kusikiliza madude yake, huyu […]

Read More..

Bongo Movie Wabaguzi- Love

Post Image

MWIGIZAJI wa kike katika tasnia ya filamu Loveness Watson ‘Love’ amefunguka kwa kuwalaumu wasanii wa filamu Bongo movie kuwa ni wabinafsi hawana msaada wowote katika matatizo zaidi ya wao kujiangalia na rafiki zao wa karibu ameliona hilo alivyompoteza mama yake. “Sina hamu na Bongo Movie misiba na matatizo ni ya kwao tu lakini sisi hakuna […]

Read More..

Johari: Nimemchuna Sana Ostaz Juma Namusoma

Post Image

Mkongwe kwenye sinema za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amevunja ukimya na kuweka bayana kuwa miaka kadhaa iliyopita aliwahi kumchuna sana Mkurugenzi wa Kampuni ya Watanashati Entertainment, Ostaz Juma Namusoma alipokuwa akimhitaji awe mchumba wake. Johari alifunguka hayo hivi karibuni baada ya mwanahabari wetu kumfungia safari hadi ofisini kwake Sinza-Mori, jijini Dar es Salaam na kumuuliza […]

Read More..