-->

Daily Archives: May 2, 2016

Dayna Atoboa Sababu za Kukataa Kuolewa Mara...

Post Image

Msanii Dayna Nyange mwezi uliopita alihudhuria ndoa ya mshakaji wake Roma ilifanyika mjini Tanga, lakini pia mwezi uliopita kuna picha yake ilisambaa anaonekana ametupia shela la harusi yupo na mwanaume flani, akiizungumzia picha hiyo alisema kuwa picha ile ilipigwa kwenye maonyesho ya mavazi, je ana mtazamo gani kuhusu ishu za kufunga pingu za maisha. ‘’Kiukweli […]

Read More..

Pichaz: Mabusu ya Gigy Money kwa Idris Yazu...

Post Image

Picha zinazomuonesha Gigy Money wakati akimpiga mabusu Idris Sultan wakiwa katika show ya Pool Party iliyofanyika Ijumaa iliyopita katika hotel ya Regency Park jijini Dar es salaam, zinawatoa povu mashabiki wa Wema Sepetu. Video queen huyo alipost picha hizo katika mtandao wake wa instagram na kuandika: Bwanaaa bwanaaa nisipige picha na watu. Pia katika picha […]

Read More..

Bora Ukimwi Kuliko Kutumia Dawa za Kulevya-...

Post Image

Msanii wa kizazi kipya Ferooz amefunguka na kusema ni bora mtu apate virus vya Ukimwi kuliko kutumia madawa ya kulevya kwani anadai mtu akitumia dawa za kulevya mwisho wake ni kuaibika na kushindwa kufanya mambo ya msingi katika jamii. Akizungumza kwenye kipindi cha eNewz Ferooz alidai kuwa yeye anaona ni bora mtu apate Ukimwi kwani […]

Read More..

Diamond Awajibu Wanaojaribu Kumuachanisha n...

Post Image

Kumekuwa na taarifa zilizosambaa kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram kuhusiana na ‘video Queen’ wa ngoma mpya ya Raymond Tip Top iitwayo ‘Kwetu’ aitwaye Lyyn kuwa anatoka na msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz. Kwa muda wa wiki kadhaa Diamond alikuwa kimya kuhusiana na taarifa hizo lakini siku ya jana kupitia akaunti ya Instagram aliwajibu […]

Read More..

Mzee Majuto Afungukia Kuacha Kuigiza, Amrud...

Post Image

Mzee majuto ambaye amejipatia umaarufu sana kwa uigizaji hususani katika Comedy ametoa kauli rasmi kuwa kwa sasa ameamua kuachana na kazi hiyo ya uigizaji na sasa kumtumikia Mungu na kuomba asamehewe makosa kwa yale aliyotenda nyuma. Mzee Majuto amesema kuwa kwa sasa anaamini anaweza kuishi bila kutumia kipaji chake hicho cha ugizaji na muda huu […]

Read More..