-->

Daily Archives: May 6, 2016

Madee Afunguka Undani wa Wimbo wa ‘H...

Post Image

Msanii Madee amefunguka undani wa wimbo wa ‘Haya Yote Maisha’ wa Producer P Funk Majani ambao ameimba yeye, wimbo ambao ulishika chati na kugusa hisia za watu wengi. Akiongea kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Madee amesema wimbo huo ni historia ya kweli ya P Funk na mwanamke ambaye ndiye mama wa mtoto wake […]

Read More..

Shetta: Mke Wangu Hana Uhusiano wa Kimapenz...

Post Image

Msanii wa bongo fleva, Shetta amefunguka leo kuhusiana na taarifa zilizozagaa kuwa mkewe, mama Qaila kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na msanii Diamond. Akiongea na cloudsfm, Shetta ameeleza haya; ‘’Nilifuta picha zote kutokana na ‘management’ yangu katika hali ya kunitengeneza Shetta mpya unajua kila mwaka unatakiwa kuwa mpya kwa kila kitu, sasa hivi nina timu […]

Read More..

Wabunge wanawake UKAWA watoka nje ya Bunge,...

Post Image

Wabunge wanawake wa Upinzani(UKAWA) wametoka nje ya Bunge asubuhi ya leo, baada ya kauli kuwa wanapewa nafasi za Ubunge sababu wana mahusiano ya kimapenzi na viongozi wao. Akizungumza nje ya ukumbi wa Bunge kwa niaba ya wenzake Mbunge wa Kawe Halima Mdee ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA) amesema wamekasirishwa na […]

Read More..

Shishi Baby Sasa Kwenda Kimataifa

Post Image

NYOTA wa muziki wa kizazi kipya Zuwena Mohamed ‘Shilole a.k.a Shishi Baby’, amesema kuwa kwa sasa ameweka mambo mengine pembeni na kuelekeza nguvu zake katika maandalizi ya kufanya ‘kolabo’ na wasanii wa kimataifa. Alisema kwa sasa hana muda wa kuzungumzia mambo mahusiano ya kimapenzi zaidi ya muziki ambao ni kazi aliyochagua kuifanya ili kuendesha maisha […]

Read More..

Bodi ya Filamu Yasitisha Usambazaji wa “I...

Post Image

Bodi ya Filamu Tanzania imesitisha usambazaji wa filamu ya “Imebuma” mpaka pale maudhui yake yatakapofanyiwa marekebisho. Akisitisha usambazaji wa filamu hiyo, Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi Joyce Fisso amesema mtengenezaji wa filamu hiyo hana kibali cha kutengenza filamu kutoka Bodi ya Filamu na hajazingatia Sheria na kanuni za utengenezaji wa filamu. Bi […]

Read More..

Snura Atoboa Alipojifunzia Mauno

Post Image

Msanii Snura ambaye jana video ya wimbo wake wa ‘Chura’ ulifungiwa na serikali kutokana na kutokuwa na maadili na kukiuka utamaduni wa kitanzania amefunguka na kusema kuwa yeye kukata viuno amejifunzia kwenye ngoma za asili. Snura ameyasema hayo leo alipokuwa akiongea na waandishi wa habari ambapo alikuwa akitoa ufafanuzi na kuomba radhi kwa watanzania kutokana […]

Read More..