-->

Daily Archives: May 11, 2016

Dayna Nyange Amuonea Wivu Roma

Post Image

MWANADADA anayefanya poa kwenye gemu la Muziki wa Bongo Fleva, Mwanaisha Nyange ‘Dayna Nyange’ hivi karibuni amedai kuwa anamuona wivu staa wa Hip Hop, Roma Mkatoriki kutokana na hatua aliyoifikia ya kufunga ndoa Jumamosi iliyopita mkoani Tanga na mchumba wake wa muda mrefu. Dayna anasema amekuwa mtu wa karibu wa Roma kwa muda mrefu sasa […]

Read More..

Nimemuweka Wazi Mpenzi Kupunguza Usumbufu &...

Post Image

Msanii Ommy Dimpoz ambaye kwa sasa anafanya poa na wimbo wake ‘Achia boy’ amefunguka na kusema kuwa ameamua kumuweka wazi mpenzi wake ili kupunguza usumbufu kutoka kwa watoto wa kike. Akizungumza kwenye kipindi cha Planet bongo cha East Africa Radio, Ommy Dimpoz alidai kuwa kufanya hivyo ni kupunguza kasi ya watoto wa kike ambao wamekuwa […]

Read More..

Mr Blue Anakuja na Hii Akiwa na Alikiba

Post Image

Mr Blue alitumia Acount yake ya Instgram kufikisha ujumbe huo kwa mashabiki wake na kuwaambia kazi ambayo amefanya na msanii Alikiba kwa producer Man Water ‘Combination Sound’ imekamilika na sasa ipo mikononi mwake. “Nataka kuwaambia kuwa nawapenda sana ila nataka muachane na skendo ambazo zipo kwenye vyombo vya habari, Mr Blue sasa nakuja na mambo […]

Read More..

Temba Atoboa Kuhusu Wazo la Mkubwa na Wanae

Post Image

Msanii kutoka katika kundi la TMK Mheshimiwa Temba azungumzia wazo la kuanzishwa kwa kundi la ”Mkubwa na Wanae” lililopo chini ya meneja Saidi Fella. Akizungumza na Enewz Temba amesema kuwa yeye ndiye aliyetoa wazo kwa Fella la kuanzishwa kwa kundi hilo baada ya baadhi ya wasanii waliokuwa chini yake kulaumu kudhurumiwa na meneja huyo. “Mimi […]

Read More..

Wapo Wanaojiuza Kweli Bongo Movie- Rose Nda...

Post Image

Msanii wa filamu nchini Rose Ndauka amefunguka na kuweka wazi kuwa kwenye tasnia hiyo wapo baadhi ya watu wachache ambao wameingia kwenye tasnia hiyo wakiwa na lengo la kujiuza na kupata wanaume, ambao wamekuwa wakiichafua tasnia hiyo. Kupitia kipindi cha Mkasi, Rose Ndauka aliweka sawa kuwa kuna wasanii ambao wanaingia kwenye tasnia hiyo kuwa kuwa […]

Read More..