-->

Daily Archives: May 15, 2016

Aunt Ezekiel, Mose Iyobo na Cookie Kuja na ...

Post Image

Msanii wa filamu, Aunt Ezekiel na mpenzi wake Mose Iyobo pamoja na mtoto wao ‘Cookie’, wapo kwenye mchakato wa kuandaa filamu ya fimilia. Mose Iyobo ambaye pia ni dancer wa Diamond, ameiambia Bongo5 kuwa tayari wapo kwenye mchakato wa kauandaa kazi hiyo. “Kuna kazi za filamu zinakuja, mtaziona tu, tena familia yetu yote mtaiyona,” alisema […]

Read More..

Sisi Tumebadilisha Muziki – Ferouz

Post Image

Msanii Ferouz amesema utofauti mkubwa uliopo kati ya Bongo fleva ya zamani waliokuwa wanafanya wao na Bongo fleva ya sasa hivi, ni kwamba wao walikuwa wanaimba ujumbe wenye kuelimisha zaidi. Ferouz amyasema hayo alipokuwa akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na EATV na kusema kuwa kitendo hicho kiliwahamasisha hata wasanii wachanga kufuata nyayo zao. […]

Read More..

Ommy Dimpoz Afunguka Kutolipwa Alipokuwa To...

Post Image

Msanii Ommy Dimpoz amesema kuwa alikuwa halipwi kitu alipokuwa Top Band, ommy  ameyasema hayo alipokuwa akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, na kusema kuwa hajayajutia magumu hayo, kwani alikuwa anajifunza. “Mwanzo wakati naanza nipo Top Band nilikuwa siko vizuri financially (kifedha), nilikuwa sina hela, nilikuwa naenda kwenye shoo kwenye bendi, ilikuwa some […]

Read More..

Giggy Money: Gardner Kwangu Hachomoki

Post Image

MUUZA nyago kwenye video za Kibongo, Gift Stanford ‘Giggy Money’ amefunguka kuwa mtangazaji maarufu Bongo anayeuza maneno katika Kituo cha Redio cha Clouds FM, Gardner G. Habash hachomoki kwake na hadi sasa wako kwenye uhusiano wa mapenzi kwa muda wa miezi sita, Risasi Jumamosi  linakumwagia ubuyu wote. Akichonga na gazeti hili baada ya picha zinazomuonesha […]

Read More..