-->

Daily Archives: May 17, 2016

Akili the Brain Afunguka Kinacho Mkosesha R...

Post Image

Msanii ambaye pia ni prodyuza Akili the Brain amesema anatamani apate mtu wa kufanya muziki anaoufanya wa Bongo Bangra, ili apate changamoto ya kuwa na mshindani. Akili ameyasema hayo alipokuwa akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo, na kusema kuwa anajisikia vibaya pale anapoona hakuna msanii mwengine anayefanya muziki huo. “Kuna wakati nasikitika sana kwamba nakosa […]

Read More..

Ray Kigosi na Johari Kuja na Tamthilia Mpya

Post Image

Wasanii wa filamu wanaounda kampuni ya RJ Company, Brandina Chagula ‘Johari’ na Vincent Kigosi ‘Ray’ wanajiapanga kuingia kwenye biashara ya kuandaa tamthilia ambazo zitakuwa zinaonyeshwa katika runinga. RJ Company ni miongoni mwa kampuni kongwe za filamu nchini ambazo mpaka sasa imeshaandaa filamu nyingi pamoja na kuibua vipaji vipya vya waigizaji. Akizungumza katika kipindi cha Uhondo […]

Read More..

Faiza Atoa Sababu za Kwanini Hajatoka na Mt...

Post Image

Msanii wa filamu na Mama wa mtoto mmoja aitwae Sasha, Faiza Ally amedai hajawahi kufanya mapenzi na mtanzania yeyote toka aachane na aliyekuwa mume wake Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ kwa madai kuwa anaogopa kuzalilishwa. Muigizaji huyo amesema hali hiyo imekuja kutokana na matukio ya uzalilishaji wa wanawake ambayo yanaripotiwa kutokea katika sehemu mbalimbali hapa nchini. Kupitia […]

Read More..

Milioni 50 za Kayumba Zimeisha, Kanunua Gar...

Post Image

Meneja wa kundi la Yamoto Band na diwani wa kata ya Kirungule amefunguka na kusema kuwa Kayumba Juma mshindi wa shindano la kusaka vipaji vya muziki la Bongo Star Search (BSS) amemaliza pesa yake milioni 50 na kusema katika vitu alivyofanyia pesa hiyo ni pamoja na kununua gari. Akizungumza kwenye eNEWS Said Fella amedai kuwa walimnunulia […]

Read More..

Aika: Nina Wivu Kabambe na Nahreel Acha Tu

Post Image

Memba wa Kundi la Navy Kenzo, Aika Mareale amefunguka kuwa ana wivu wa kupindukia kwa memba mwenzake ambaye ni mpenzi wake, Emmanuel Mkono ‘Nahreel’ wanaotamba na wimbo wao wa Kamatia Chini kwani kuna kipindi huwa anapata wakati mgumu hasa warembo wanapokatiza mbele ya jamaa huyo. Aika aliliambia Wikienda kuwa kila mwanadamu ana moyo na kuna watu wengine wanaweza kuwaona kuwa wapo tu wala hawaoneani wivu lakini ukweli ni kwamba ana wivu na mpenzi […]

Read More..

Hii ‘Aje’ ya Alikiba ni Kiboko- Mwana FA

Post Image

Msanii wa muziki wa bongo fleva Mwanafalsafa A.K.A Mwana FA amefunguka na kuonyesha hisia zake kuikubali kazi mpya ya msanii Alikiba ambayo inafahamika kwa jina la ‘Aje’ Mwana FA kupitia account yake ya twitter aliandika ujumbe wenye kuonyesha kuwa kazi hiyo ya msanii huyo ni kiboko na kusema amesikiliza mara nyingi sana lakini hajaweza kugundua […]

Read More..