-->

Daily Archives: May 29, 2016

Chief Kiumbe Akinipa Ndinga Sikatai-Young K...

Post Image

Msanii Young Killer ambaye siku za karibuni ameachia wimbo wake mpya akiwa na Mr Blue amefunguka na kusema kuwa ikitokea Chief Kiumbe amempa gari hawezi kukata sababu hakuna mtu ambaye anapenda maisha ya shida au ya chini Young Killer alisema haya kupitia kipindi cha eNEWS na kusema kuwa yeye kuwataja madoni kwenye wimbo wake haina […]

Read More..

Mama Ngwea Afunguka Kuhusu Ngwea Kutumia Ma...

Post Image

Mama mzazi wa msanii Albert Mangwea amezungumzia suala ambalo lilishika vichwa vya habari hususan za burudani kuwa msanii huyo alikuwa anatumia madawa ya kulevya. Akiongea na Planet Bongo ya East Africa Radio, Mama wa Mangwea Bi. Denisia Constantino amesema mwanaye hakuwa mtumiaji wa madawa hayo, kwani yeye kama mzazi alishawahi kumuuliza na kukataa, na kusema […]

Read More..

Wolper: Lazima Nimzalie Harmonize

Post Image

MTOTO wa Kichaga anayetikisa anga la Bongo Muvi, Jacqueline Wolper amenyanyua kinywa chake na kusema; “lazima nimzalie Harmonize (Rajabu Abdulhan, staa wa Bongo Fleva), kwa kuwa nimeridhika naye.” Kauli hiyo imekuja zikiwa ni siku chache tangu mwigizaji huyo aamue kuanika uhusiano wake hadharani kupitia mitandao ya kijamii ambapo watu wengi wamekuwa wakimsema vibaya kwamba hayupo […]

Read More..

Picha: Wasanii wa Filamu Wafanya Misa Kumuk...

Post Image

Wasanii wa filimu nchini wakiongozwa na Odama, Ijumaa hii wamefanya misa ya kumbukumbu ya kifo cha msanii wa filamu Rachel Haule. Wasanii mbalimbali kama Ray Kigogo, Odama, Esha Buheti Steve Nyerere, Sabrina Rupia, Maya Mrisho, Senator Msungu Richie Mtambalike, JohariChagula pamoja na Lamata walihudhuia misa hiyo ambayo ilitawala majonzi.  

Read More..

Baba Haji Akomalia Sinema za Kidini

Post Image

MUIGIZAJI mkongwe Bongo, Haji Adam ‘Baba Haji’, amesema baada ya kucheza kwa mafanikio filamu ya Ndoto Bayana, ambayo ina maudhui ya dini ya Kikristo, sasa anakusudia kufanya kazi nyingine kama hiyo, lakini kwa Kiislamu. “Nimejikuta nikipata wazo kuwa naweza nikafanya kazi hizi za kidini na bado nikawa nipo sokoni kama kawaida, kitu kingine kilichonivutia filamu […]

Read More..