-->

Daily Archives: June 3, 2016

Wema Sepetu Adai Mwaka 2006 Ulikuwa Mwisho ...

Post Image

staa wa bongo movie,  Wema Sepetu ambaye pia aliwahi kuwa Miss Tanzania 2006 amesema hajui lolote kuhusu mashindano hayo zaidi ya kuwa mwaka alioshinda yeye ndiyo ulikuwa wa mwisho kwa mashindano hayo. Mwaka jana mashindano ya Miss Tanzania yalifungiwa na BASATA kutokana na tuhuma za upangaji wa matokeo uliosababisha kupoteza msisimko na mvuto wa mashindano […]

Read More..

Dudubaya Adai Kuwa Ray C Anakula Ngada Kama...

Post Image

Msanii Dudubaya ambaye siku za karibuni ameachia wimbo wake mpya unaofahamika kwa jina la ‘Kokoriko’ amefunguka na kusema kuwa msanii Ray C ambaye alisaidiwa na Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete kuachana na matumizi ya dawa za kulevya amerudia tena. Kwa mujibu wa Dudubaya anasema msanii huyo hakuwa na dhamira ya dhati kutoka moyoni mwake kuachana na […]

Read More..

Vanessa Alazimishwa Kudendeka

Post Image

NJEMBA mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja, juzikati aliwashangaza watu baada ya kulazimisha kudendeka jukwaani na msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘V-Money’.   Tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita ndani ya Ukumbi wa Bilicanas uliopo Posta jijini Dar ambapo msanii huyo alikuwa akitumbuiza huku akipita kwa mashabiki na kutaka […]

Read More..

Mawakala Wakusambaza Filamu Wanahitajika

Post Image

Kama wewe una Duka/Supermarket /Kibanda  au unataka kuanza biashara popote pale ulipo sasa unaweza ukaongeza biashara yako kwa kuuza filamu za bongo kwa faida kubwa zaidi. Piga namba hizi: 0673 348 364 au 0754 256 489. Wahi sasa.  

Read More..

Shetta: Mimi sibebi Unga

Post Image

Star wa Bongo Fleva Shetta anayefanya vizuri na wimbo wake mpya wa ”Namjua” ameweka wazi juu ya mafanikio yake baada ya kuwa na tetesi nyingi kuwa siku hizi na yeye anabeba mabegi ya unga. Akizungumza na Enewz Shetta alikanusha tuhuma hizo na kudai kuwa yeye shughuli yake kubwa ni mziki na hata anaposafiri kwenda nchi […]

Read More..

Aunt Ezekiel: Sitaki Marafiki Tena

Post Image

BAADA ya urafiki wa waigizaji mashuhuri na wanaozungumzwa sana nchini, Wema Sepetu na Aunty Ezekiel ‘Mama Cookie’ kuvunjika, waigizaji hao wameibuka na kudai kwamba hawahitaji marafiki. Ilishangaza Aunty Ezekiel kutomualika Wema Sepetu katika sherehe ya mtoto wake na mnenguaji wa Diamond Platinum, Moses Iyobo iliyofanyika mwishoni mwa wiki ukumbi wa Serena Hotel. Aunty Ezekiel alipoulizwa […]

Read More..