-->

Daily Archives: June 13, 2016

Nisha Amjibu Wolper

Post Image

Staa wa sinema za vichekesho Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ ameibuka na kumjibu mwigizaji mwenzake, Jacqueline Wolper Massawe kuwa hajawahi kutaka ‘kiki’ za kijinga wala ugomvi na anachoangalia yeye ni biashara na maisha yanaenda. Nisha aliliambia Wikienda kuwa ameshangazwa na habari zinazozagaa mitandaoni baada ya yeye kuweka picha za wasanii wanne kisha msanii mwenzake, Wolper kuanza […]

Read More..

Muhogo Mchungu Alia na Mitandao

Post Image

Msanii mkongwe wa maigizo nchini Muhogo Mchungu amelalamikia watumiaji wa mitandao ya kijamii hasa vijana kwa mwezi huu mtukufu wa Ramadhani. Muhogo Mchungu ameyasema hayo katika mahojiano na Enews na amewataka wazazi wajiunge na mitandao hiyo ya kijamii ili waweze kudhibiti matumizi mabaya ya mitandao hiyo kwa kufuatilia matumizi ya watoto wao. Muhogo alisema kuwa […]

Read More..

Nedy Music na Tabia za Ommy Dimpozi

Post Image

SAID Seif ni mmoja wa wasanii wanaokuja vizuri katika muziki wa kizazi kipya ambaye jina lake maarufu ni Nedy Music. Huyu ni msanii anayewakilisha kundi la Pose kwa Pose (PKP) linalomilikiwa na mkali wa mapozi, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’. Wimbo wa ‘Usiende Mbali’ alioshirikiana na bosi wake, Ommy Dimpoz, ndio unaomtambulisha vema katika muziki wa […]

Read More..

Jb Awashukia Wasanii Wenzake Kuhusu Hili!

Post Image

JACOB Stephen ‘JB’ msanii mahiri katika tasnia ya filamu Bongo amewashukia wasanii wenzake kwa kusema kuwa wengi hawapo makini na tasnia jambo ambalo linawafanya kupoteza mapato mengi kutokana na tasnia hiyo bila sababu. Ukweli ni kwamba wasanii wengi hawapo serious na kazi kitu kinachofanya tukose pesa kwenye filamu, na ukitaka kutambua hilo angalia page zao […]

Read More..

Malaika Akiri Kutengana na Mpenzi Wake

Post Image

BAADA ya kufanya siri kwa muda mrefu, staa wa Ngoma ya Raruararua, Diana Exavery ‘Malaika’ amekiri kwa mara ya kwanza kuwa hayupo tena na mpenzi wake, Eddy ndiyo sababu hata ya kufikia hatua ya kuondoka walipokuwa wakiishi pamoja Kunduchi jijini Dar. Akizungumza katika mahojiano mafupi na Over Ze Weekend, Malaika ambaye awali alikuwa akisimamiwa na […]

Read More..

Video ya ‘Jike Shuka’ Yamtoa Povu Shilo...

Post Image

Ikiwa ni siku chache toka Ex wa Shilole, Nuh Mziwanda aachie video ya wimbo ‘Jike Shupa’ ambayo inaelezea jinsi alivyoishi na mpenzi wake huyo, Shilole ameonyesha kukasirishwa na kazi hiyo. Nuh amethibitisha kwamba Shilole ndiye aliyemuimbia kwenye wimbo huo, kwa kumtumia video queen anayefanana na Shilole kama pacha katika video ya wimbo huo. Sholole baada […]

Read More..