-->

Daily Archives: June 22, 2016

Siwema Amuumbua Nay wa Mitego

Post Image

SIKU chache baada ya mzazi mwenzake na msanii Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego,’ Siwema Edison kutoka gerezani na kutakiwa atumikie kifungo cha nje, amefunguka ya moyoni huku akimuumbua ‘zilipendwa’ wake huyo aliyekuwa akidai alipambana kumsaidia. Chanzo makini cha habari hii kilitutonya hivi karibuni kuwa, mbwembwe zote alizokuwa akizitoa Nay kuwa yeye ndiye kila kitu mpaka […]

Read More..

Young Dee Akiri kutumia Unga, Aomba Radhi

Post Image

Rapper Young Dee hatimaye amethibitisha tetesi za miaka mingi kuhusu utumiaji wa madawa ya kulevya na kukiri kuwa ametumia kwa kipindi cha mwaka mmoja na nusu. “Sina mtu ambaye ninaweza kumlaumu, lakini mazingira ambayo nimepitia ndio ambayo yamefanya hivyo, kuna wakati ambao nimeishi sana na watu mtaani, kwa hiyo kidogo kidogo ikanifanya niweze kushawishika na […]

Read More..

Chuchu Hansa: Daku Ina Masharti Yake

Post Image

Msanii wa kike kutoka katika kiwanda cha Bongo Move Chuchu Hans ameiambia eNewz kwamba ameamua kuandaa filamu hiyo amabayo itaonyesha masharti na utaratibu wa daku kwa watanzania wote bila kuangalia tofauti za dini zao. Hata hivyo Chuchu amesema watu wengi huwa wanakuwa makini katika kufuatilia futari na mchana wanapokuwa wamefunga na muda wa kula daku, […]

Read More..

Afande Sele: Bongo Fleva Imefuata ya Bongo ...

Post Image

Rapper mkongwe kwenye bongo Fleva, Afande sele, amesema muziki wa bongo fleva sasa hivi unapoteza dira na kufuata nyayo za bongo movie, za kutumia kiki kutangaza kazi. Akiongea kweye Planet Bongo ya East Africa Radio, Afande Sele amesema masuala ya kiki yalikuwa ni kawaida kwa wasanii wa filamu za bongo, lakini sasa hivi wasanii wa […]

Read More..