-->

Daily Archives: June 23, 2016

Diamond: Niombeeni Nirudi na Tuzo

Post Image

WAKATI akisafiri kuelekea nchini Marekani kwa ajili ya kushiriki utoaji wa tuzo za BET, msanii wa kizazi kipya, Nassib Abdul ‘Diamond’, amewataka Watanzania waendelee kumuombea ili arudi na tuzo hizo zinazotarajiwa kutolewa Juni 26. Diamond alichaguliwa kuwania tuzo hizo kipengele cha msanii bora wa kimataifa kutoka Afrika (Best International Act Africa). Kupitia kwa meneja wake, […]

Read More..

Irene Uwoya Kusomesha Watoto 10

Post Image

NYOTA wa filamu za Tanzania, Irene Uwoya, amechangia katika mfuko wa binti ili kusaidia kusomesha watoto 10 kati ya wengi wanaoishi kwenye mazingira magumu. Uwoya alitoa mchango huo mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya kuhitimisha matembezi ya kuchangisha fedha na vifaa vya shule kwa watoto wanaoishi mazingira magumu. “Nimejitolea kusomesha watoto hao 10 kupitia ‘Binti […]

Read More..

Huu ndiyo Ujio Mpya wa J.Plus na Seba

Post Image

Nyota wa filamu za Action nchini Tanzania ambaye ni mmoja kati ya mwasisi wa filamu hizo, Jimmy Mponda maarufu kama “J.Plus” aliyeanza rasimi kutoa Action Muvi ya “Shamba kubwa” mnamo mwaka 1994, Filamu yake ya pili ikafuata 1995, ilipewa jina la “Unga Adui” yatatu iliitwa “Kifo haramu” ilikuwa 1997 ya nne ilikuwa “Usia” 2003. 2005-2010 […]

Read More..

Afande sele Adai Kuwa na Wanawake Kama Sita...

Post Image

Msanii wa muziki na mwanasiasa kutoka mji kasoro bahari, Afande Sele amefunguka na kusema kuwa kwa sasa yeye hatarajii kuoa kwani bado yupo yupo sana ingawa anakiri wazi kuwa yupo na mahusiano na wanawake kama sita hivi ambao wanamsaidia kumtunzia watoto wake huku akiangalia kati yawatu hao alionao yupi anastahili kuwa malkia. Afande Sele alisema hayo […]

Read More..

Juma Nature Afukukia Wasanii Wanaotumia Ung...

Post Image

Baada ya hapo jana  msanii Young Dee kukiri kutumia madawa kwa mwaka na nusu na kwamba ameacha huku akiahidi maisha mapya, msanii mkongwe wa bongo Fleva, Juma Nature ametoa maoni yake pia kuhusiana na matumizi ya madawa hayo. “Kuna mambo ambayo nikijiuliza jibu sipati hivi ni kweli kuna wasanii wanakula mambo hivi, mbona sisi uhuni […]

Read More..

Johari Aanika wa Kumpa Penzi Lake

Post Image

Mwigizaji wa kitambo kunako Bongo Movies, Blandina Chagula ‘Johari’ ameweka wazi kuwa, ni bora ajihusishe na uhusiano wa kimapenzi na mwanaume ‘kapuku’ (asiye tajiri wala maarufu) kuliko kutoa penzi lake kwa staa yeyote wa Kibongo kwa sababu wengi wao ni ‘michosho’. Johari (pichani) aliliambia Amani hivi karibuni kwamba, kwa upande wake, hivi sasa kutoka na […]

Read More..

Nitafuturu na Wasiojiweza – Nisha

Post Image

Msanii wa bongo fleva Nisha anategemea kuwafuturisha watu wasiojiweza tarehe 26/6/2016 viwanja vya Azania Lego ili kuweza kuwasaidia watu wanaoishi katika mazingira magumu na wasiojiweza ikiwa kama moja kati ya sadaka zake ambazo atakuwa ametoa. Pia ameendelea kusema kwamba futari hiyo haina masharti, hivyo anawaalika watu wote bila kujali dini kuweza kujumuika na yeye katika […]

Read More..