-->

Daily Archives: July 12, 2016

Kufuatia Tetesi za Kuwepo kwa Mgogoro wa Ki...

Post Image

Kuna tetesi nyingi sana zimevuma kwenye mitandao ya kijamii wiki hii kuhusiana na Diamond na Zari. Miongoni mwa tetesi hizo ni pamoja na kuwa Zari haelewani kabisa na ndugu zake Diamond akiwemo mama mkwe wake na wifi yake, Esma. Hilo Zari alilielezea kwa mafumbo kwenye Snaochat na kudai kuwa hajali kama nchini au ukoo usipomkubali, […]

Read More..

Linah Sanga Afunguka Sababu ya Kutomuweka ...

Post Image

Msanii Linah Sanga ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake ya ‘Imani’ amefunguka na kusema kuwa kwa mambo ambayo tayari yamemkuta kwenye mahusiano hayupo tayari tena kumuweka wazi mpenzi wake kwenye mitandao ya kijamii. Linah Sanga akiongea kwenye kipindi cha Enews amesema kwamba kwa sasa yeye hayupo tayari kumuweka wazi mpenzi wake kama ilivyokuwa […]

Read More..

Picha: Shamsa Ford Amuweka Wazi Aliyechukua...

Post Image

Staa mrembo kutoka bongo movies,  Shamsa Ford baada ya kupigana chini na mkali wa bongo fleva Nay wa Mitego na kuapa kutomwanika tena mpenzi wake mpya katika mitandao ya kijamii, Jumamosi hii hali imemshinda na kuanza kushare picha mbalimbali akiwa na mtu wake wa karibu. Muigizaji huyo mahiri wa filamu ambaye ni mama wa mtoto […]

Read More..

Shule 25 Kunufaika na Filamu za ZIFF

Post Image

MKURUGENZI wa Tamasha la Ziff, Profesa Martin Mhando, amesema kwamba baadhi ya filamu katika tamasha la mwaka huu zitatumika kwa ajili ya kufundishia. “Tumeanza kujihusisha na filamu za kuonyesha vijijini na kufundishia shuleni ambapo shule zaidi ya 25 zitanufaika kwa elimu hiyo itakayokuwa ikitolewa kila wiki.” Alisema wameona kuna umuhimu mkubwa kutumia filamu kufundishia ili […]

Read More..

Nilimtoa Masogange-Belle 9

Post Image

Msanii wa RnB Abednego Damian ‘Belle 9’, amesema umaarufu wa mkali wa kunogesha video za wasanii, Agnes Gerald ‘Masogange’, umetokana na wimbo wake wa ‘Masogange’. Belle 9 alisema huwa anaamini kipaji cha mtu ndio maana wengi aliowashirikisha katika nyimbo zake wamepata umaarufu mkubwa. “Nimefanya kazi na wasanii wasiotambulika akiwemo Masogange na wamepata umaarufu mkubwa pia […]

Read More..