-->

Daily Archives: July 17, 2016

Shaa Sipo Tena Ndani ya Mj record

Post Image

Saa ameithibitishia Enews kwamba kwa sasa yeye hayupo tena chini ya lebo ya Mj Record Malikia wa uswazi kama mwenyewe anavyopenda kujiita Shaa ameweka wazi zile tetesi zilizokuwa zimezagaa kwamba ameondoka Mj Record na kesema ni kweli hayupo chini ya lebo hiyo lakini haimaanishi kwa hafanyi kazi na studio za Mj . Hata hivyo Shaa […]

Read More..

Chura ya Snura Bado Kimbembe

Post Image

LICHA ya kufungiwa na mamlaka husika za serikali kutokana na video yake kukiuka maadili ya Mtanzania, wimbo wa ‘Chura’ ulioimbwa na Snura Mushi ‘Snura Majanga’ unaonekana kumpa changamoto kwa mashabiki wake kila wanapomtaka auimbe. Katika kila onyesho lake mjini hapa, mkali huyo anayetamba kwa sasa na wimbo mpya wa ‘Shindwe’ unaomaanisha kishindo, mashabiki wamekuwa wakimshinikiza […]

Read More..

Waziri Nape Azindua Filamu ya Sikitu!

Post Image

Waziri Nape Nnauye akiongea jambo kabla ya kuizindua filamu ya Sikitu, ndani ya ukumbi wa sinema uliopo ndani ya Jengo la Quality Center jijini Dar es Salaam. Muandaaji wa filamu hiyo, Kajala Masanja (wa pili kutoka kulia), akiingia ukumbini hapo tayari kwa kushuhudia zoezi la uzinduzi huo.   Nape katikati, akifuatilia filamu hiyo muda mfupi […]

Read More..

Ujumbe wa Babu Seya Kwa Mtoto wa Kajala

Post Image

Leo ni siku ya kuzaliwa ya mtoto wa staa wa filamu Kajala Masanja, Paula, ambapo Kajala amemwandikia ujumbe mzuri mwanae huyo huku akimkumbusha mwanae jukumu alilopewa na msanii mkongwe wa muziki, Babu Seya aliye gerezani kwa muda mrefu. Wawili hao walimtembelea Babu Seya hivi karibuni na kuzungumza naye mambo kadhaa. Kupitia instagram, Kajala ameandika: Dear […]

Read More..

Niliitwa Mimi Mwizi- Babu Tale

Post Image

Meneja wa Diamond Platnumz na Tip top Connection, Babu Tale amefunguka na kusema kuwa wasanii wengi waliondoka kwake kwa maneno ambayo walikuwa wakiambiwa mtaani na wananchi kuwa ana wasimamia huku akiwaibia pesa zao. Babu Tale alisema haya kupitia kipindi cha Planet bongo ya East Africa Radio na kudai wasanii hao waliamua kuondoka chini ya uangalizi […]

Read More..