-->

Daily Archives: July 18, 2016

Diamond Afunguka Haya Baada ya ‘Kidogo’...

Post Image

Diamond Platnumz anasherehekea mafanikio ya video ya wimbo wake mpya, Kidogo. Ndani ya siku nne, video ya wimbo huo aliowashirikisha P-Square imefikisha views zaidi ya milioni moja kwenye mtandao wa Youtube. Staa huyo hakusita kusherehekea hatua hiyo na mashabiki wake:  

Read More..

Siwema: Nay Hajanikatisha Tamaa ya Kuwa na ...

Post Image

Mrembo aliyezaa na Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, Siwema Edson amefunguka kuwa, kuingia doa kwa penzi lake na jamaa huyo hakujamkatisha tamaa kuingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na mwanaume ambaye ni staa. Siwema ameliambia Wikienda kuwa hawezi kuapa kwamba hatakaa atumbukie tena kwenye penzi la msanii kwa kuwa hakuna anayejua huko […]

Read More..

Kazi Kazi’ Ndiyo Ujio Mpya Prof Jay Kweny...

Post Image

Mbunge wa jimbo la Mikumi kupitia tiketi ya Chadema na mwanamuziki wa Hip hop Prof Jay amefunguka na kusema kuwa amendika na kutengeneza video ya wimbo wake mpya alioupa jina la ‘Kazi kazi’  ili kuwatia moyo vijana na watu waliokata tamaa ya maisha na kuwataka kufanya kazi kwani ipo siku maisha yao yatabadilika. Prof Jay […]

Read More..

Video ya Fid Q yashinda Tuzo za ZIFF

Post Image

TUZO mpya ya video bora ya wimbo wa Bongo Fleva imekwenda kwa Farid Kubanda ‘Fid Q’ kupitia video ya wimbo wake wa ‘Walk it Off’. Katika shindano hilo, wasanii saba wa muziki wa kizazi kipya kutoka Dar es Salaam na watatu kutoka Uganda walioshindanishwa video zao, video hiyo ndiyo iliibuka mshindi. Kwa mujibu wa mkurugenzi […]

Read More..

Nisha: Majungu, Wivu Vilinitenga na Marafik...

Post Image

Staa wa sinema za vichekesho Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amefunguka sababu za yeye kutokuwa na marafiki wa kike kuwa ni majungu na wivu tofauti na marafiki wa kiume. Nisha ameliambia Wikienda kuwa, watu wengi wamekuwa wakimuuliza sababu ya kuwa na marafiki wa kiume pekee na siyo wa kike ambapo amekuwa akiwajibu kuwa si kwamba hakuwahi […]

Read More..