-->

Daily Archives: July 23, 2016

LULU:Mimi na Mama Kanumba Tupo Vizuri!

Post Image

STORI zilivuma na bado vuguvugu linaendelea kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuhusu uhusiano wa staa wa kike katika filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na mama Kanumba, Flora Mtegoa kuwa siyo mzuri kama zamani. Watoa habari wa mjini, wanadai kuwa mama Kanumba na Lulu kwa muda mrefu sasa hawapikiki chungu kimoja kama ilivyokuwa zamani. Lulu […]

Read More..

Gabo: Wanaisoma Namba Kimwendokasi!

Post Image

KATIKA Tamasha la 19 la Kimataifa la Filamu kwa nchi za Jahazi (ZIFF) lililofanyika huko Zanzibar, imedhihirika kwamba nidhamu, kujituma, ubunifu na uaminifu vikiungana kwa pamoja humpa mtu mafanikio. Kwenye tuzo hizo katika kipengele cha Mwigizaji Bora wa Kiume, msanii Salim Ahmed ‘Gabo Zigamba’, aliibuka mshindi kupitia filamu yake ya Safari ya Gwalu na kuwapiku […]

Read More..

Davina Alia Kupoteza Jembe

Post Image

Halima Yahaya ‘Davina’, staa wa sinema za Kibongo ambaye mwanzoni mwa wiki hii alimpoteza baba yake mzazi, mzee Yahaya, amesema daima atamlilia marehemu baba yake kwani alikuwa ni kiungo muhimu sana katika maisha yake yaliyobaki. Akizungumza na gazeti hili, Davina alisema kumpoteza baba yake huyo amekuwa na maumivu makali ambayo siyo rahisi kumueleza kila mtu […]

Read More..