-->

Daily Archives: July 26, 2016

Uzee Kumwachisha Bi Mwenda Uigizaji

Post Image

MUIGIZAJI mkongwe kwenye Tasnia ya Filamu Bongo, Fatuma Makongoro ‘Bi Mwenda’ amefunguka kuwa anaona uzee umeshamfikia hivyo muda si mrefu ataamua kupumzika kuigiza ili afanye kitu kingine kulingana na umri wake.   Akizungumza na gazeti hili, Bi Mwenda alisema amecheza filamu muda mrefu takriban miaka ishirini hivyo anaona wazi atashindwa kukimbizana kwenye kambi kwenda huku […]

Read More..

Pesa ni Hatari Aisee-Muhongo Mchungu

Post Image

WANASEMA kama una bandama basi huwezi kujizuia kucheka popote pale ulipo, hata kama ni kwenye eneo ambao hutakiwi uonyeshe tabasamu. Kama ni hivyo basi huwezi kushangaa pale ambapo mkongwe katika filamu za Kibongo, Abdallah Mkumbila ‘Muhogo Mchungu’ alipovunjwa mbavu na mmoja ya waumini ndani ya msikiti wakati ibada ikiendelea katika kile kipengele cha kutoa sadaka. […]

Read More..

Gabo Zigamba Aishauri Haya Serikali

Post Image

Msanii Salim Ahmed alimaarufu kama ‘Gabo Zigamba’ ameishauri serikali ya awamu ya tano kutolea macho kwenye sekta ya kilimo Tanzania pamoja na vipaji na kusema kuwa hivyo ndivyo vyanzo vizuri vya mapato. Gabo Zigamba ametumia ukurasa wake wa Instgram kutoa ujumbe huo kwa serikali na kuiomba serikali ya awamu ya tano iweze kutilia mkazo katika […]

Read More..

Riyama: Mtuache Tulale!

Post Image

STAA wa filamu za Kibongo, Riyama Ally amewafunga midomo wote waliokuwa wakibeza uhusiano wake na msanii chipukizi wa muziki wa Bongo Fleva, Haji Mwalimu Mzee ‘Leo Mysterio’, baada ya kufunga naye ndoa hivi karibuni. Minong’ono ilikuwa mingi mitaani na kwenye mitandao ya kijamii kuwa Riyama yupo kwenye uhusiano na Serengeti Boy kwa vile kijana huyo […]

Read More..

Koffi Olomide Akamatwa Nyumbani Kinshasa

Post Image

Mwanamuziki maarufu kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC amekamatwa akiwa nyumbani kwake mjini Kinshasa. Wiki iliyopita Olomide alitimuliwa kutoka nchini Kenya baada ya video kuonyesha akimpiga teke mnenguaji wake wa kike katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta baada yake kuwasili nchini humo. Lengo la ziara ya Kenya alipangiwa kutumbuiza mashabiki wake Bomas of […]

Read More..