-->

Daily Archives: August 6, 2016

Thea Kuja na Tamthilia 3 Mpya Kwenye Runing...

Post Image

Msanii mkongwe wa filamu, Salome Urassa ‘Thea’ amesema anajipanga kuachia tamthilia 3 mpya baada ya soko la filamu kudai kubadilika. Akiongea na Bongo5 Jumapili hii, Thea amesema kuongezeka kwa runinga kumewafanya wasanii wa filamu kufikiria nje ya box kwa kutengeza tamthilia. “Kusema kweli sasa hivi tamthilia za kwenye runinga ndo zimekuwa issue, runinga nyingi zinahitaji […]

Read More..

Diamond Analipa Fadhila kwa Chid Benz

Post Image

Msanii wa bongo fleva ambaye anafanya vizuri kuipeperusha bendera ya Tanzania kimataifa kwenye muziki, ametoa siri ambayo inamfanya awe mstari wa mbele kumsaidia msanii Chid Benz, alipopata matatizo. Akiongea kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Diamond Platnumz amesema anafanya hivyo kwa Chid Benz kutokana na kitendo alichomuonyesha kabla hajawa maarufu, kukubali kufanya naye collabo […]

Read More..

Wema Sepetu, Ivan Ex wa Zari na Diamond Wat...

Post Image

Msanii wa filamu Wema Sepetu anaendelea kuuthibitishia umma kwamba hana tena kinyongo na Ex wake wa zamani Diamond Platnumz baada ya Jumamosi hii kumwandikia ujumbe mzuri bintiye Diamond, Tiffah katika siku yake ya kuzaliwa. Wawili hao hivi karibuni wameonyesha kushirikiana mambo kadhaa katika mitandao ya kijamii licha ya wiki mbili zilizopita kusambaa kwa tetesi ya […]

Read More..

Jide, Mwarabu Wazua Utata

Post Image

MKONGWE wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Jide’ na Mwarabu mmoja ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja, wamezua utata wa aina yake kufuatia msanii huyo ‘kumposti’ mara kwa mara kwenye mtandao wake wa Instagram. Risasi Jumamosi lilianza kumfuatilia Jide baada ya kutonywa na chanzo kuwa msanii huyo amekuwa akimposti Mwarabu huyo na kwamba kuna kila […]

Read More..