-->

Daily Archives: August 10, 2016

Tamthilia ya Siri za Familia Kuingia Sokoni...

Post Image

Familia nyingi zina siri ingawa zinatofautina, Siri zinaweza kuhusiana na miiko, ukatili, mahusiano, magonjwa, uhalifu,mauaji, ubakaji. Jambo lolote ambalo mtu au famila inadhani linaweza kuleta tafarani,linafanywa siri. Hata hivyo hakuna siri ya watu wengi au ya muda mrefu kwani hatimaye hufichuka je nini hutokea pale? Tamthiliya Ya ” Siri za Familiya ” Inakuja katika mfumo […]

Read More..

Snura Adai Kusumbuliwa Sana na Wanaume Hawa

Post Image

Msanii wa muziki Snura Mushi alimaarufu kama Snura Majanga amefunguka na kusema kuwa amekuwa akipata shida sana na wanaume mbalimbali wenye matamanio kutokana na vile anavyoweza kutumia mwili wake kwenye uchezaji wake akiwa stejini. Snura alizungumza haya kwenye kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio na kusema kuwa licha ya kupata usumbufu huo kwa […]

Read More..

Wastara Amnasa Kigogo Morogoro

Post Image

IMEVUJA! Safari za mara kwa mara mkoani Morogoro, zinazofanywa na staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma zinadaiwa kuchangizwa baada ya kumnasa kigogo mmoja mkoani humo. Chanzo makini kililiambia Risasi Mchanganyiko kuwa muigizaji huyo amempata mfanyabiashara na kiongozi wa serikali mkoani humo, kitu kinachomfanya afanye safari zaidi ya mara nne kwa mwezi. “Yaani siku hizi […]

Read More..

Kajala Afunguka Sababu ya Kwenda Gym

Post Image

Msanii wa filamu na Mama wa mtoto mmoja, Kajala Masanja amesema haendi gym ili kutafuta ‘shape’ ya mwili wake kama baadhi ya watu wanavyodhani. Mwigizaji huyo ambaye ameachia filamu mpya ‘Sikitu’ hivi karibuni, amesema anaingia gym kufanya mazoezi ili kukabiliana na tatizo la moyo. “Hapana shape tayari ninayo alinipa Mungu, labda naiongezea kidogo tu, nafanya […]

Read More..

Harmonize Afukungia Kuhusu Kuchunwa Pesa na...

Post Image

Mwanamuziki wa Bongo Flava anayesimamiwa na Wasafi, Harmonize, amekanusha kuchunwa pesa na mpenzi wake Jackline Wolper kutokana na mwanamke huyo kuonekana kuwa na maisha ya kifahari. Harmonize amekanusha hayo mbele ya camera ya eNewz kwa kusema “Nyumbani kwa Wolper kuna kaunta ambayo anaweza kunywa vinywaji atakavyo, pia sioni sababu ya mimi kupendeza na mwanamke wangu […]

Read More..

Mwanaheri Akataa Posa

Post Image

Mwigizaji anayekuja juu kwa kasi kwenye tasnia ya sinema za Kibongo, Mwahaheri Ahmed ‘Mwana’ amefunguka kuwa kufuatia kutokuwa tayari kuolewa, alishatolewa posa mara nane lakini akazikataa zote. Akizungumza na Wikienda, Mwana alisema kuwa hayuko tayari kuolewa kwa sasa hadi akamilishe mipango yake aliyojipangia ndiyo maana hata posa zilivyokuwa zikiletwa kwao hakuwa tayari. “Nilikuwa bado niko […]

Read More..