-->

Daily Archives: August 14, 2016

Skaina: Sitaki Kuolewa Tena

Post Image

STAA wa filamu Bongo, Skyner Ally ‘Skaina’ amefunguka kuwa hahitaji kuolewa tena wala kusikia kitu kinachoitwa ndoa katika maisha yake na kwamba anachoshukuru ni Mungu kumjalia mtoto. Akizungumza na Amani Skaina alisema kuwa, alipata kovu kubwa sana la ndoa kipindi cha nyuma alipofunga ndoa yake ya kwanza hivyo hapendi kusikia tena kitu hicho kwa kuwa […]

Read More..

Tunda afunguka kumwagana na Young D

Post Image

MUUZA nyago macha-chari Bongo, Tunda Sebastian amefunguka kumwagana na mwandani wake wa muda mrefu, ambaye ni staa wa Bongo Fleva, David Genzi ‘Young D’ na kusema ameamua kujiweka kando kwenye maswala ya mapenzi. Akipiga stori na Showbiz Xtra baada ya kumbananisha kuhusiana na tetesi za uhusiano wake kuvunjika kutokana Young D kubaini anatoka na mwanamuziki […]

Read More..

Soggy Doggy Atoboa Chazo cha ‘Kibanda...

Post Image

Msanii wa bongo fleva ambaye bado yupo kwenye game, Soggy Doggy, ametoa siri ya wimbo wake wa ‘kibanda cha simu’ ambao ulifanya poa sana miaka ya 2000, na kilichompelekea yeye kuandika wimbo huo ambao hauchuji masikioni mwa watu kwa ujumbe wake. Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Soggy Doggy amesema chanzo cha yeye […]

Read More..

Sizonje ya Mrisho Mpoto Yamkuna Rais Magufu...

Post Image

Utunzi mahiri wa mashairi na ughani uliotukuka wa Mrisho Mpoto, umeligusa sikio la Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ambaye ameeleza kuwa shabiki mkubwa wa kazi za msanii huyo hususan wimbo wake ‘Sizonje’. Akizungumza na Mpoto juzi, muda mfupi baada ya kuwasili jijini Dar es Salaam katika Uwanja wa Ndege […]

Read More..

Hiki Ndicho Chanzo cha Bifu la Vera na Hudd...

Post Image

Mrembo kutokea pande za Mombasa nchini kenya, Vera Sidika ametoa sababu ya kuwa na bifu na mlimbwende mwenzake wa nchini humo, Huddah Monroe, bifu ambalo limeteka vyombo vya habari kwa muda mrefu Akifunguka kwenye FNL ya East Africa Tv na Radio, Vera Sidika amesema wakati yeye akiwa Mombasa, Huddah Monroe tayari alishakuwa maarufu jijini Nairobi, […]

Read More..