-->

Daily Archives: August 19, 2016

Diamond Platnumz Afunguka Kuwauzia Mitumba ...

Post Image

Msanii Diamond Platnumz anasema kabla hajatoka kimuziki alikuwa anafanya biashara ya kuuza mitumba na biashara hiyo ndiyo iliweza kumkutanisha na ‘Producer’ Bob Junior ambaye aliyetengeneza kazi zake za kwanza ambazo zilimtambulisha kwa watanzania. Diamond Platnumz alisema hayo kwenye kipindi cha Planet bongo ya East Africa Radio na kudai kuwa yeye alikuwa anapenda sana kumuonyesha onyesha […]

Read More..

Wema Akanusha Kurudiana na Diamond, Amwaga ...

Post Image

Mambo mengi yametokea wiki hii kuanzia Wema Sepetu kuachana na mpenzi wake Idris Sultan hadi Miss Tanzania huyo wa mwaka 2016 kuhudhuria birthday party ya binamu wa Diamond, Romeo na kukutana na vijana wa WCB. Kutokana na Wema kujumuika na vijana wa himaya ya WCB, kumezuka tetesi kuwa huenda ukaribu kati ya muigizaji huyo na […]

Read More..

Vipengele Vya Tuzo za EATV Hivi Hapa

Post Image

EATV Awards leo imetangaza vipengele vitakavyokuwepo kwenye tuzo zake, zinazotarajiwa kufanyika tarere 10 Dec 2016. Tuzo hizo zitahusisha kazi za muziki na filamu zilizotoka mwaka mmoja uliopita, kuanzia tareheĀ 1 Julai 2015 mpaka tareheĀ 30 Juni 2016, na zinazotambulika na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) EATV Awards imeanza na vipengele 10 ambavyo ni:- 1. Mwanamuziki bora wa […]

Read More..

Masanja Awaangukia Polisi, Wamaliza Msala w...

Post Image

Katika harusi ya Masanja Mkandamizaji iliyofanyika Agosti 14, wachekeshaji wenzake wa kundi la Orijino Komedi, walikuja wamevalia nguo zilizofanana na sare za jeshi la Polisi hali iliyowapelekea kukamatwa. Walifikishwa kituo cha Polisi kwa mahojiano na pia wakakaguliwa sehemu wanazoishi ili kuweza kufahamika kama kuna kitu kingine wanachomiliki tofauti na sare za Polisi. Kufuatia hatua hiyo, […]

Read More..

Fid Q: Mapenzi Yamenitesa Sana Jamani!

Post Image

AGOSTI 13, mwaka huu ilikuwa ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mwanahip Hop, Fid Q na kwa furaha aliyonayo kwa kutimiza miaka kadhaa, siku hiyo aliamua kuachia ngoma mbili kama zawadi kwa mashabiki wake. Wimbo wa kwanza unaoitwa Sumu aliutoa usiku wa kuamkia Jumamosi iliyopita, baadaye jioni akaachia video ya ngoma nyingine ya Roho aliyomshirikisha Christian […]

Read More..