-->

Daily Archives: August 27, 2016

Hii Ndiyo Gharama ya video ya Saka Hela ya ...

Post Image

Baada ya kukaa kimya bila kutaja kiasi cha fedha alichotumia kushoot video yake ya ‘Saka Hela’ Nay Wa Mitego amefunguka rasmi kwa mara ya kwanza. Rapper huyo amekiambia kipindi cha ‘Ngaz kwa Ngaz’ kinachoruka kupitia EATV kuwa ametumia kiasi cha $25,000 kushoot video yake hiyo ambazo kwa hela za kibongo ni zaidi ya shilingi milioni […]

Read More..

Vera Sidika, Huddah… Bifu Lao Lawapaisha ...

Post Image

MASTAA wa kike wanaochuana vikali katika mitindo nchini Kenya, Vera Sidika ‘Vee Beiby’ na Alhuda Njoroge ‘Huddah’ wanazidi kupata umaarufu Bongo kutokana na bifu lao la muda mrefu sasa. Huddah anajulikana kitambo kidogo hapa Bongo, lakini kwa sasa ni kama anampaisha mwenzake Vee Beiby kutokana na bifu lao linalofukuta. Kwa muda mrefu Huddah amekuwa akimchokonoa […]

Read More..

Dully Sykes: Muziki wa Tanzania ni wa Wazar...

Post Image

Msanii Dully Sykes amesema kabila la wazaramo ambao wana asili ya jiji la DSM, ndiyo wenye muziki wa singeli ambao umeshika kasi kubwa kwa sasa, na watu wengi kusema huo ndiyo muziki halisi wa Tanzania. Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Dully Sykes amesema muziki wa singeli unatokana na muziki wa mchiriku ambao […]

Read More..

Kuna Kitu Ninacho Moyoni Mwangu – Wema S...

Post Image

Tangu malkia wa filamu nchini, Wema Sepetu aachane na mpenzi wake Idris Sutlan kuna mengi yamekuwa yakizungumzwa katika mitandao ya kijamii. Muigizaji huyo hakuwahi kuzungumza sababu ya kuachana na mshindi huyo wa shindano la Big Brother Africa Hotshots 2014 hali ambayo imekuwa ikiibua maswali mengi kwa mashabiki wake. Alhamisi hii Wema amewataka mashabiki wake katika […]

Read More..

Chuchu Hans: Simtawali Ray, Nimembadilisha

Post Image

STAA wa filamu za Kibongo, Chuchu Hans amefunguka kuwa staili yake ya maisha imechangia kumbadilisha tabia mpenzi wake Vincent Kigosi ‘Ray’, ambaye pia ni msanii wa filamu. Chuchu aliye Miss Tanga mwaka 2005 amesema anakerwa na maneno ya watu mitandaoni kwamba anamtawala Ray, wakati ukweli ni kwamba wanaishi kwa kusikilizana. “Watu wanaongea sana uzushi, kitu […]

Read More..

Majambazi Wavamia Nyumba ya Q Chillah, Waib...

Post Image

Q Chila amethibitisha nyumba yake kuvamiwa na majambazi na wamefanikiwa kuiba baadhi ya vitu vilivyomo ndani ikiwemo laptop iliyokuwa na baadhi ya colabo zake. Akiongea na Clouds FM, muimbaji huyo amedai kuwa thamani ya vitu vyake vilivyoibiwa ni kama milioni mbili au tatu. “Watumishi wa shetani wameamua kufanya kitu cha kihistoria, siku zote wanarukaruka mmoja […]

Read More..

Neno Moja kwa Dudubaya, Kwa Kumfundisha Hik...

Post Image

Msanii Godfrey Tumaini au Dudubaya ameonesha mfano jinsi ya kuwa baba bora, kwa kuzungumza na mtoto wake kuhusu maambukizi ya magonjwa ya zinaa, na jinsi ya kujikinga na magonjwa hayo kwa kutumia condom. Akizungumza na Planet Bongo ya East Africa Radio, Dudubaya amesema huwa anazungumza na kijana wake kwa kuwa hataki apate magonjwa ya zinaa […]

Read More..