-->

Daily Archives: September 4, 2016

Papa Amtangaza Mama Theresa Kuwa Mtakatifu

Post Image

VATICAN: Maelfu ya watu wameshuhudia ibada ya kutawazwa kuwa mtakatifu, Mama Teresa ambaye ametangazwa na Papa Francis leo.   Raia huyo wa Albania ambaye alifariki mwaka wa 1997 alianzisha shirika la hisani la kimishenari ili kuwasaidia walala hoi katika mtaa wa mabanda wa Calcutta nchini India. Atajulikana kama mtakatifu Teresa wa Calcutta. Waandishi wanasema kuwa […]

Read More..

Wahu Ndiye Mke Sahihi Kwangu – Nameless

Post Image

Msanii kutoka nchini Kenya, ‘Nameless’ amemmwagia sifa mke wake ambaye pia ni msanii mwenzake ‘Wahu’ kuwa ni mke sahihi katika maisha yake. “Nina miaka 11 sasa tangu nifunge ndoa na Wahu, naweza kusema kuwa huyu ni mwanamke sahihi kwangu kwa kuwa kila mmoja hakuna ambaye amemtuhumu mwenzake kutoka nje ya ndoa. “Kupendana kunatufanya kila mmoja […]

Read More..

Muonekano ni Dili – Dogo Janja

Post Image

Msanii Dogo Janja amesema saa hivi ana mpango wa kuweka muonekano wake vizuri kibiashara zaidi, ili aweze kuingiza mkwanja mrefu zaidi ya muziki anaofanya. Akizungumza kwenye Planet Bogno ya East Africa Radio, Dogo Janja amesema sasa hivi muonekano wake umebadilika kutokana na kukua, na pia kutokana na jinsi anavyojiweka safi, ili aweze kuvutia makampuni kumpa […]

Read More..

Mwasiti: Nimepania Kuwafunda Mabinti

Post Image

UNAPOWATAJA wasanii wa kike waliowahi kupata majina makubwa katika muziki wa Bongo Fleva, huwezi kukosa jina la Mwasiti Almasi. Mpaka sasa Mwasiti bado anatesa kwenye muziki huo. Mwasiti amewahi kutamba na wimbo wa ‘Nalivua Pendo’ ambao mwaka 2009 ulipata tuzo ya Wimbo Bora wa Zuku Rumba katika Tuzo za Kili. Swaggaz imepata wasaa wa kupiga […]

Read More..

Matatu Kutoka kwa Mwana FA Baada ya Kuoa

Post Image

Miezi kadhaa baada ya kuuaga ukapera, Hamisi Mwinjuma ‘Mwana FA’ amefunguka mambo matatu ambayo hayafanyi tangu ameoa. KUPIGA MISELE “Kwa kweli tangu nioe, imenibidi kupunguza baadhi ya ratiba ambazo zilikuwa zinanichukulia ‘time’ huko nyuma na kunifanya wakati mwingine kuwa nje ya nyumbani. Kwa kuwa mimi siyo mtu wa kujirusha kiivo, suala hili limekuwa rahisi na […]

Read More..