-->

Daily Archives: September 5, 2016

Raymond Aeleza Sababu ya Kumuimbia Avril Ju...

Post Image

Raymond alisababisha yowe kubwa mwishoni mwa wiki katika show ya WCB mjini Mombasa alipompandisha mrembo wa Kenya, Avril aliyekuwa mmoja wa watu waliohudhuria. Akiongea na Bongo5, Raymond amefunguka; Sikutegemea kabisa kwamba nitamuona Avril katika show , walikuja watu wengi lakini wakati nipo stejini nikaona VIP kama kuna mtu kakaa, kuangalia vizuri nikaona ni Avril so […]

Read More..

Mastaa Walivyoweka Ustaa Pembeni Kwenye Har...

Post Image

INAWEZEKANA huu mwaka ukawa ni mwaka uliovunja rekodi kwa mastaa wengi kuingia kwenye mapenzi ya ndoa. Haina shaka kwa sababu inaonekana wazi wasanii wa kiume wameamua kuoa na wasanii wakike nao wameamua kuolewa. Nyota mbalimbali kutoka kwenye tasnia ya muziki na filamu kama vile Roma, Baghdady, Manecky, Ricardo Momo, Menina, Mr Blue, Masanja Makandamizaji wote […]

Read More..

Harmonize Afunguka Kutomuogopa Raymond

Post Image

Msanii wa kundi la WCB Harmonize amesema kwa sasa hayuko tayari kufanya colabo na kuwapa watu muda wa kuwatengenezea ushindani kati yao.   Akipiga story ndani ya eNews amesema “Colabo ni kubadilishana mashabiki kwa wakati nafanya colabo na Diamond nilikuwa nikilenga kuwa kuna mahali muziki wa Diamond umefika wa kwangu haujafika na pia Diamond ana’hit’ […]

Read More..

Nitafunga Ndoa Januari-Steve Nyerere

Post Image

Msanii mkongwe wa filamu Steve Nyerere aliwasurprise baadhi ya wasanii wenzake wa filamu katika harusi ya Shamsa Ford baada ya kutangaza anaoa mwezi januari mwakani. Akitoa neno kwa niaba ya wasanii wenzake katika harusi ya Shamsa Ford iliyofanyika Sinza Afrikasana Ijumaa iliyopita, Steve Nyerere aliwaabarisha wasanii wenzake kuwa ataoa Januari 2017. “Mimi sina maneno mengi […]

Read More..

Shamsa Ford Afunguka Siri ya Kupata ‘Mume’

Post Image

Msanii wa filamu nchini Shamsa Ford ambaye amefunga ndoa na mfanyabishara Chidi Mapenzi wiki iliyopita amefunguka na kutoa chanzo cha yeye kukutana na mpenzi wake huyo ambaye amefunga naye ndoa na kusema chanzo kilikuwa ni chakula. Shamsa ford anasema kuwa siri ya mahusiano aijuae ni Mungu kwani yeye alikuwa anapita karibu kila siku kwenye duka […]

Read More..