-->

Daily Archives: September 10, 2016

Siwalaumu Wanaopenda Skendo – JB

Post Image

Msanii wa filamu nchini Jacob Stephen maarufu kama JB amefunguka na kusema kuwa yeye hawalaumu wasanii ambao wamekuwa wakiendesha maisha yao ya sanaa kwa kutafuta ‘kiki’ au kufanya skendo. Amesema kwa upande wake yeye hawezi kufanya hivyo kwani anaamini kuwa maisha ya skendo huwafanya wasanii waonekane wahuni, washindwe kuaminiwa na kudharauliwa na baadhi ya watu. […]

Read More..

Man Fongo Sio Mtu wa Kubishana na Mama Yang...

Post Image

Baada ya kusambaa audio katika mitandao ya kijamii ambazo mama Wema anasikika akimpandishia mtangazaji wa Clouds FM, Soudy Brown, Wema Sepetu amemvutia wire mtangazaji huyo akimtaka kuacha kumzungumzia mama yake katika mambo ambayo hayaeleweki. Chanzo mgogoro huo mkubwa kati ya Wema Sepetu dhidi ya Christian Bella na Man Fongo kwa pamoja, unahusiana na masuala ya […]

Read More..

Wakonta Apata Kifaa cha Kumsaidia Kuandika

Post Image

MWANDISHI wa ‘script’ anayetumia ulimi kuandikia, Wakonta Kapunda, amepata kifaa cha kumsaidia kuandika kwa kutumia sauti ambacho ndiyo ameanza kukifanyia mazoezi. Wakonta aliliambia MTANZANIA kwamba kupatikana kwa chombo hicho kiitwacho Nuance Dragon Naturally Speaking, kitamrahisishia kuandika kwa haraka script za filamu zake na mambo mbalimbali ambayo atataka kuyafanya. “Kupatikana kwa kifaa hicho ni faraja kwangu kwasababu […]

Read More..

Kanumba, Tyson, Kuambiana… Wameondoka na ...

Post Image

BADO naendeleza kelele zangu kwenye soko la filamu nchini ambalo kwa sasa limedorora na kama hatua za makusudi hazitachukuliwa basi kuna hatari ya kupotea kabisa. Wadau wa sanaa wale wanaoitakia mema tasnia ya filamu, wanapiga kelele kurudisha heshima ya sanaa na wasanii wa filamu Tanzania. Zipo hoja nyingi zinazowekwa mezani. Hata wiki iliyopita nilijenga hoja […]

Read More..

Picha: Maisha ya Harmonize na Wopler, Kama ...

Post Image

Wapenzi wawili Harmonize pamoja na Jacqueline Wolper wanaendelea kuuonyesha umma jinsi wanavyopendana. Wawili hao Alhamisi hii walienda shopping pamoja na kufanya manunuzi ya vitu mbalimbali katika Mall moja hapa jijini Dar es salaam. Hivi karibuni mwigizaji huyo alipost picha akiwa jikoni huku akiandaa chakula kwa ajili ya muimbaji huyo wa wimbo Matatizo. Harmonize akimkabidhi maharage […]

Read More..

Filamu ya ‘Kesho yangu’ Kutoka ...

Post Image

Kesho yangu ni kati ya filamu zinazosambazwa na Steps Entertainment na inafanya vizuri sokoni kutokana na umahiri ulioonyeshwa ndani filamu hii, sio ya kukosa kabisa. Angalia ni namna gani anavyo weza kubadilika na kuwa mnyama kuzulumu haki pamoja na uhai wa mtu sababu ya mali. Filamu hii inawashirikisha wa sanii kama Mohamed Zuberi(Niva), Masinde, Gozbert […]

Read More..