-->

Daily Archives: September 16, 2016

Filamu ya ‘Nani Zaidi’ Kuingia ...

Post Image

Filamu ya ” Nani Zaidi ” Inatoka Jumatatu Ya Tarehe 19 September 2016. Kuwa Wa Kwanza Kupata Nakala yako Original. Wahusika ni – Hemedy Suleiman – Tino Muya Na Wasanii Wengine wakali. Kamwe Usikubali Kununua Filamu ya ” Nani Zaidi ” kama Hanina Nembo ya Steps Entertainment LTD. Pia Kampuni Ya Steps Entertainment LTD Inatafuta […]

Read More..

Nipo Bongo Kumfuata Jack Wolper- Burundiano

Post Image

THAMANI ya Lugha yetu ya Kiswahili katika filamu kwa nje ni kubwa sana hadi wasanii wakubwa wameingia darasani kwa ajili ya kuigiza kama watanzania msanii mkubwa nchini Burundi Sururu Jafari ‘Burundiano’ nafunguka na kujivunia kuijua lugha hiyo na yupo nchini Tanzania akirekodi filamu na wasanii wa Bongo. Burundiano akikagua vifaa vya Production kabla ya kuanza […]

Read More..

MO Music Atoboa Siri ya Kutengana na Baraka

Post Image

Nyota wa Bongo Fleva kutoka jijini Mwanza MO Music amefichua sababu ya kundi la Wazawa, na kueleza kuwa ugomvi binafsi wa T Nocks na Baraka The Price ndiyo uliopelekea kundi hilo kuvunjika. Mo Music alikuwa ni memba wa kundi hilo lililokuwa likiundwa na wasanii kutoka lililojulikana kwa jina la WAZAWA, lililokuwa likiundwa na yeye (MO […]

Read More..

Shilole na Nuh Mziwanda Wamaliza Nifu Lao

Post Image

Ilikuwa ni ‘break up’ iliyofuatiwa na uadui mkubwa. Ilipelekea hadi Nuh Mziwanda kuandika wimbo ‘Jike Shupa’ uliomlenga ex wake Shilole. Haikuishia hapo, wawili hao waliendelea kurushiana maneno kwenye mitandao ya kijamii na kwenye mahojiano na kulaumiana kwa mengi. Hata hivyo mlalamikaji mkubwa alikuwa Nuh aliyemwelezea Shishi kama mwanamke aliyempotezea muda wake na kumkwamisha kwenye muziki. […]

Read More..

Uhuru Wangu Umepungua Tangu Niolewe –...

Post Image

Msanii wa filamu nchini Shamsa Ford amesema kuwa maisha yake kwa sasa yamepungua uhuru baada ya kuingia katika ndoa Kupitia camera za eNewz Shamsa amesema “Kwa sasa uhuru umepungua, hata zile ‘outs’ sasa zimepungua” Alipoulizwa kama je ndoa yake itabadilisha mtindo wake wa uigizaji, Shamsa alisema “Mimi bado ni m’bongo movie na mume wangu ananielewa, […]

Read More..