-->

Daily Archives: September 19, 2016

Hivi Ndivyo Diamond Alivyomalizana na Saida...

Post Image

Sallam kutoka WCB ameonyesha baadhi ya nyaraka ambazo zimewapitia kibali cha kutumia sehumu za wimbo ‘Maria Salome’ wa Saida Karoli katika wimbo mpya wa Diamond, ‘Salome’. Wimbo ‘Maria Salole’ wa Saidi Karoli ni miongoni mwa nyimbo za asili zilizofanya vizuri miaka ya 2000. Hali hiyo iliufanya uongozi wa Diamond kuzungumza na uongozi wa Saida Karoli […]

Read More..

Bushoke: Ushauri wa Mashabiki Hunijenga San...

Post Image

Bushoke amedai kuwa ushauri kutoka kwa mashabiki hasa ule anaoupata kwenye mitandao ya kijamii humjenga. Hivi karibuni ameachia wimbo wake mpya uitwao ‘Mpita Njia’ ambao anadai kuwa mashabiki wengi wamempongeza. Akiongea na Bongo5 Bushoke amesema huwa anapenda kusoma sana koment za mashabiki wake na kuwajibu “Unajua mimi huwa anapenda sana kusoma comment nione mashabiki wangu […]

Read More..

Lulu: Sasa Nahitaji Kupata Mtoto

Post Image

Staa mrembo wa Bongo Movie amefunguka kuwa kwasasa anahitaji kuwa na mtoto. Muigizaji huyo ameandika ujumbe kwenye mtandao wake wa Instagram akimuomba Mungu huku akidai kuwa yupo tayari kwa sasa na anahitaji mtoto. “Okay…I’m ready noooow????and I want a Baby Boy???In Jesus Name?,” ameandika Lulu kwenye mtandao huo. Kwa sasa muigizaji huyo yupo kwenye mahusiano […]

Read More..

Lungi Maulanga, Achezea Kichapo ‘Hevi’ ...

Post Image

Muigizaji wa kitambo Bongo, Lungi Maulanga, anadaiwa kuchezea kichapo ‘hevi’ kutoka kwa mpenzi wake wa zamani (jina linahifadhiwa), kisa kikiwa ni kumnyima unyumba baada ya kukutana baa na kumtaka waondoke pamoja. Chanzo makini ambacho kilishuhudia mtiti huo kilidai kwamba, Lungi, akiwa anapata kinywaji kwenye baa moja maeneo ya Kinondoni, jamaa huyo aliibuka ‘from no where’ […]

Read More..

Eshe Buhet: Katu Sitamuonesha Mume Wangu

Post Image

Mengi yamekuwa yakiongelewa kuhusu nyota huyu wa filamu za Kibongo, Eshe Buhet, huku ikiwepo minong’ono kuwa ndoa yake imevunjika. Akizungumzia hilo anasema bado yupo kwenye ndoa na anaishi kwa amani na mume wake ingawa watu wanasambaza maneno kuwa wametengana. “Niliolewa tangu mwaka 2008, nimefanikiwa kupata mtoto mmoja wa kike na ninaishi kwa amani na upendo […]

Read More..