-->

Daily Archives: September 20, 2016

Hip Hop si Dini Wala si Kabila- Darassa

Post Image

Rapa anayefanya vizuri na wimbo wake wa ‘Too Much’ kwenye muziki wa bongo sasa Darassa amefunguka na kusema kuwa muziki wa Hip hop si kabila wala si dini ila yeye anatambua kuwa anakipaji. Akiongea kwenye kipindi cha ‘Ngazi kwa Ngazi’ kinachorushwa na EATV Darassa amesema watu wamekuwa wakiongea mengi juu ya muziki anaofanya, watu wamekuwa […]

Read More..

Bongo Movie Haijafa- Batuli

Post Image

KUNA wakati ambapo kila mtu huwa na lake la kusema katika kuongelea jambo linalogusa maslahi yake kama mwanadada msanii mkongwe katika tasnia ya filamu Bongo Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ anayepingana na kauli ambazo hutolewa na baadhi ya wasanii kuwa tasnia ya filamu imeshuka au inaelekea kaburini. “Huwezi kubishana na mtu kuhusu kusema kuwa Bongo Movie imeshuka […]

Read More..

Wema Awapa Makavu ‘Team Wema’

Post Image

Muigizaji nyota wa filamu nchini, Wema Sepetu amewatimua watu wanaojiita Team Wema waliotapakaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii, akisema hawataki kwa vile wanamharibia maisha yake. Katika sauti aliyoituma katika akaunti ya mtandao wake wa Instagram, alisema haelewi hasa asili ya watu hao kujihusisha na jina lake, lakini anakerwa zaidi nao kwa kitendo chao cha kutaka […]

Read More..

Rose Ndauka Kuwa Mtangazaji wa Runinga

Post Image

Malkia wa filamu, Rose Ndauka atakuwa mtangazaji wa kipindi kipya cha runinga kiitwacho ‘SK TV Show’. Mwigizaji huyo ambaye ni mama wa mtoto mmoja, atakuwa akitangaza kipindi hicho cha runinga akiwa na Fahad Fuad. SK TV Show ni kipindi ambacho kitakuwa kinatoa habari mbalimbali pamoja na matukio yanayotokea katika jamii. Hata hivyo mwigizaji huyo hakuweka […]

Read More..

Chid Benz Afunguka Kuhusu Kurudia Tena Mada...

Post Image

Rapa Chid Benz ambaye kipindi cha nyuma alikuwa akitumia madawa ya kulevya na baadaye alipelekwa rehabu kwa ajili ya kuacha matumizi ya madawa hayo amefunguka na kusema kuwa arudie kwenye matumizi ya madawa hayo au asirudie hilo watu wasiangalie. Amesema yeye anatambua kuwa hawaangushi mashabiki zake kwenye ile kazi ya muziki ambayo ilifanya wamjue. Chid […]

Read More..