-->

Daily Archives: September 25, 2016

Ukibana Ndani Nje Tunatoboa- Barafu

Post Image

MWIGIZAJI wa filamu Swahilihood Suleiman Barafu amesema kuwa wakati kuna wakati wa filamu nchini hawatoi nafasi kwa waigizaji wenye uwezo kama yeye watayarishaji wa filamu wa nje wanawaona na kuwaita kwa ajili ya kushiriki katika kazi zao, na anafanya kazi nchini Kenya. “Nashukru Mungu kazi yangu ya uigizaji imefika mbali kwani kama inafikia mtayarishaji kutoka […]

Read More..

Alikiba Aahidi Kufanya Kazi na ‘Madan...

Post Image

Msanii wa Bongo Fleva Alikiba ameahidi kuchukua baadhi ya vijana walioshiriki hatua ya fainali ya shindano la Dance100% 2016. Akizungumza na EATV Alikiba amesema uwezo uliooneshwa na makundi yaliyoshiriki umemfanya aone kuna sababu ya msingi ya kukuza vipaji vyao kwa kuchukua baadhi ya waliofanya vizuri na kuwajumuisha kwenye kazi zake. “Nashukuru kwa kuwa Jaji mgeni […]

Read More..

Pastor Myamba: Waigizaji Ndio Wanaua Soko l...

Post Image

Muigizaji mahiri wa filamu Bongo, Emmanuel Myamba maarufu kwa jina la Pastor Myamba ameitaja sababu ya kushuka kwa soko la filamu nchini kuwa ni kutokana na wasanii wenyewe. Muigizaji huyo amekiambia kipindi cha Ulimwengu wa Filamu cha TBC 1 kuwa wasanii wamekuwa wakipunguza juhudi za kutengeneza sinema nzuri kwa ajili ya kupunguza gharama. “Kama watu […]

Read More..

Picha: Bata la Diamond na Zari Huko Zanziba...

Post Image

Baada ya kumfanyia sherehe ya kuzaliwa mpenzi wake Zari, staa wa bongo fleva, Diamond Platnumz  akiwa na mcheza danci wake Moses Iyobo ambae ameambatana Aunt Ezekiel wameendelea kula bata visiwani Zanzibar. Hizi ni baadhi ya picha zao

Read More..

Z-Anto Afungukia Ujio Wake Mpya, Ataka Kusa...

Post Image

Msanii Z Anto ambaye amekuwa kimya muda mrefu kwenye game na kutangaza kurudi hivi karibuni, amefunguka kuhusu kitendo cha msanii kumsaini msanii mwenzake kwenye lebo yake na kufanya naye kazi. Akizungumza kwenye FNL ya east Africa Television na East Africa Radio, Z Anto amesem akitendo hicho kwake ananona ni kitu kigumu kwake, kwani iwapo msanii […]

Read More..