-->

Daily Archives: October 3, 2016

Sholo Mwamba: Man Fongo Kabweteka Mapema Sa...

Post Image

MKALI wa Muziki wa Singeli ambaye alisikika katika Ngoma ya Kazi Kazi ya Prof. Jay, Sholo Mwamba kwa mara ya kwanza amemfungukia msanii mwenzake, Man Fongo kuwa kwa muda mfupi aliotoa ngoma ya Hainaga Ushemeji imemfanya kubweteka na kuridhika. Akichonga mbili-tatu na Global TV Online kupitia Kipindi cha Mtu Kati, Sholo Mwamba anayetikisha na Ngoma […]

Read More..

Dude ni Meneja Wangu Tu – Ester Kiama

Post Image

WASWAHILI usema kuwa raha jipe mwenyewe na aisifia Mvua imemnyea, haya yanajitokeza kwa mwigizaji wa filamu wa kike Bongo Ester Kiama pale anapojikuta akimsifia mwigizaji mwenzake Kulwa Kikumba ‘Dude’ kama ni meneja sahihi kwake kwani kuwepo naye katika kazi zake kumezaa matunda katika kazi hiyo. Kama ningekuwa pekee yangu labda ingekuwa kazi ngumu sana hata […]

Read More..

KR Muller Auzungumzia Tofauti Kati ya TMK W...

Post Image

Msanii wa muziki KR Muller amefunguka na kuuzungumzia utofauti uliopo kati ya label yake ya zamani TMK Wanaume Halisi ya Juma Nature na alipo sasa Rada Enterntainment ya TID. Hatua hiyo imekuja baada ya hivi karibuni meneja wa label yake ya zamani TMK Wanaume Halisi, Juma Nature kudai msanii huyo ameharibikiwa baada ya kuhamia label […]

Read More..

DENTI: Abdul Kiba Amenipa Ujauzito

Post Image

DAR ES SAALAM: Nasra Salum (19) ambaye ni mwanafunzi wakidato cha pili katika Shule ya Sekondari ya Isqama Islamic Academy iliyopo Oman, amedai kuwa msanii wa Bongo Fleva, Abdul Salehe Kiba, amempa mimba baada yakutembea naye. Akizungumza ndani ya studio za Global TV zilizopo Bamaga, Mwenge jijini Dar es Salaam juzi, Nasra alisema alikuwa Oman […]

Read More..

Vigoma Dili, Lakini kwa Wema Hapana Aisee!

Post Image

NANI alikuwa na uwezo wa kupinga ushindi wa Wema Sepetu mbele ya Jokate Mwegelo na Lisa Jensen, mwaka 2006 katika  jukwaa la Miss Tanzania? Hakuna na asingetokea sababu ilikuwa ni halali yake. Macho ya majaji yaling’amua uwezo wa kipekee uliobebwa ndani ya urembo wa Wema. Ndiyo maana magwiji kwenye tasnia ya filamu walimvuta na kumwingiza […]

Read More..