-->

Daily Archives: October 7, 2016

Said Ally, Aliyetobolewa Macho Buguruni She...

Post Image

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametoa majibu kuhusu na hatma ya kijana Said Ally aliyetobolewa macho maeneo ya Buguruni Sheli na kusema hatoweza kuona tena. Makonda ametoa majibu hayo ofisini kwake Ijumaa hii. “Majibu yametoka na Said ameturuhusu tuyaweke wazi majibu ni mabaya ila tumeyapokea itabidi tukubaliane na matokeo kwamba ndugu […]

Read More..

Diamond: Zari Ndiye Model Niliyewahi Kumlip...

Post Image

Mkali wa ‘Salome’ na mkurugenzi wa WCB, Diamond Platnumz amesema katika ma-model wa video aliowahi kuwalipa fedha nyingi ni mpenzi wake Zari. Alimtaja Zari alipoulizwa kwenye kipindi cha The Playlist cha Times FM na mtangazaji Lil Ommy aliyetaka kumjua ni model gani aliyewahi kumtoboa mfuko wake zaidi. “Zari ndio mtu nilimlipa hela nyingi katika video […]

Read More..

Baraka The Prince Kuja na ‘Recording ...

Post Image

Msanii Baraka The Prince ambaye kwa sasa yupo chini ya lebo kubwa ya muziki Afrika ya Rock Star, ametangaza ujio wa recording lebel yake, itakayosimamia kazi za wasanii wengine. Akizungumza kwenye kipindi cha 5SELEKT ya East Africa Television, Baraka aliulizwa kuhusu maana ya jina la BANA ambalo analitumia, ndipo akafunguka na kusema kuwa jina hilo […]

Read More..

Mr Nice Avamiwa na Majambazi Kenya, Aibiwa ...

Post Image

Mwanamuziki, Lucas Mkenda ‘Mr Nice’ hivi karibuni amedai alivamiwa na majambazi akiwa nchini Kenya na kuibiwa simu 2, laptop, pamoja na pesa taslimu kiasi cha tsh milioni 30. Muimbaji huyo kwa sasa yupo nchini Kenya kwa zaidi ya miezi 6 akifanya shughuli za muziki pamoja na show. Akiongea na Bongo5 Ijumaa hii akiwa nchini Kenya, […]

Read More..

Naachia Ngoma ya Hip hop Mwaka Huu – ...

Post Image

Msanii na mtayarishaji wa muziki kutoka Sharobaro Records Bob Junior ametangaza rasmi kuwa mwaka huu anataka kuachia ngoma ya Hip hop kwa sababu yeye ni Rapa na anauwezo huo. Bob Junior alisema hayo kupitia kipindi cha eNewz kinachorushwa na EATV na kudai kuwa mwaka huu ataachia kazi mbili, moja ikiwa ni ya kuimba na nyingine […]

Read More..

Shamsa Ford Aeleza Jinsi Ndoa Ilivyobadili ...

Post Image

Malkia wa filamu Shamsa Ford amefunguka na kuzungumzia jinsi ndoa ilivyobadili maisha yake. Mwigizaji huyo miezi miwili iliyopita alifunga ndoa na mfanyabishara wa maduka ya nguo, Chidi Mapenzi. Akiongea na Bongo5 Alhamisi hii, Shamsa amesema ndoa imempatia amani ya moyo ambayo alikuwa anaitafuta kwa muda mrefu. “Namshukuru mwenyezi Mungu kwa afya njema na kwa kila […]

Read More..