-->

Daily Archives: October 10, 2016

Ditto Atoboa Siri ya Kufanya Nyimbo Zinazoi...

Post Image

Muimbaji na mtunzi wa nyimbo, Lameck Ditto amesema muziki wake bado unamlipa zaidi kupitia ring tone na hiyo ndio ilikuwa shabaha yake; kufanya nyimbo ambazo zitaishi kwa muda mrefu. Akiongea na Clouds E ya Clouds TV, Ditto alisema, “Unajua licha ya kuwa kimya kwa muda ila nyimbo zangu huwa zinakaa muda mrefu. Mtu akisikiliza kama […]

Read More..

Filamu ya ‘Afande Chacha’ Kuonyeshwa Si...

Post Image

Afande Chacha ni moja kati ya filamu bora zaidi kutoka Step Entertainment iliyojumuisha mastaa wakali wa bongo movie wakiweno Riyama Ally, Hemmed  PHD na Mzee Majuto. Kwa mara ya kwanza itaonyeshwa ijumaa tarehe 14 mwezi  kupitia Sibuka maisha channel 111 kwenye startimes kuanzia saa 3 usiku ni bongo movie bandika bandua.  

Read More..

Amber Lulu Afungukia Kukamatwa na Unga

Post Image

Kufuatia madai ya kukamatwa akisafirisha madawa ya kulevya ‘unga’ jijini Arusha kuelekea China, video queen matata Bongo, Lulu Auggen ‘Amber Lulu’ amefungukia ishu hiyo akidai kuwa anaamini ilitengenezwa na watu walioamua kumchafua. Amber Lulu aliliambia Wikienda kuwa alishangaa kuona mitandaoni kwamba amekamatwa na unga, lakini hakuna kitu kama hicho kwani hajawahi kukamatwa. Kabla ya kumpata […]

Read More..

Alikiba Atoa Madai Haya Kuhusu Tamasha la M...

Post Image

Hatimaye Alikiba ameeleza sababu ya kukatizwa kwa show yake kwenye tamasha la Mombasa Rocks ambalo Chris Brown pia alitumbuiza. Kwenye tamasha hilo, Kiba alitumbuiza nyimbo mbili tu kabla ya mic aliyokuwa anaitumia kuonekana kupata mushkeli/kuzimwa na kumlazimu kuondoka jukwaani. Akiongea na mtangazaji wa kipindi cha Mambo Mseto cha Radio Citizen ya Kenya, Willy Tuva akiwa […]

Read More..

Nini Kimemfanya Snura Amng’ang’anie Chura?

Post Image

Kwa kawaida wasanii wengi ambao nyimbo zao hufungiwa, huachana nazo na kuendelea na nyingine, lakini kwa Snura imekuwa tofauti baada ya kuamua kukomaa hadi alipotimiza masharti yote na kuruhusiwa kuendelea na Chura wake. “Nimekubaliana na maelekezo ya serikali na nimebadili video ya wimbo wangu wa Chura na sasa umeruhusiwa rasmi. Lakini najua watu wengi watakuwa […]

Read More..

Riyama, Mumewe Wadaiwa Kutengana!

Post Image

Kama kawaida, tunakuletea ubuyu wa motomoto kuwa mkali wa sinema za Kibongo, Riyama Ally na mumewe ambaye ni msanii wa Bongo Fleva, Haji Mwalimu Mzee ‘Leo Mysterio’, wanadaiwa kutibuana na kufikia hatua ya kutengana kimakazi. Kisa cha yote hayo inasemekana kwamba, jamaa huyo hampendi mtoto wa Riyama aliyezaa na mwanaume mwingine, ishu ambayo mwanamama huyo […]

Read More..