-->

Daily Archives: October 20, 2016

Vee Money Afungukia Kukutana na Michelle Ob...

Post Image

Oktoba 11, ilikuwa ni Siku ya Msichana Duniani, ambapo jarida maarufu Marekani, liitwalo Glamour, lilifanya majadiliano maalumu yaliyopewa jina la Brighter Future: Global Conversation On Girls’ Education ambapo ‘first lady’ wa taifa hilo Michelle Obama alizungumza na wasichana duniani kote kuhusiana na umuhimu wa elimu kwa mtoto wa kike kupitia njia ya mtandao. Kwa upande […]

Read More..

Singeli Imenipa Nyumba na Gari – Man Fongo

Post Image

Msanii wa muziki wa Singeli nchini Man Fongo amefunguka na kusema anashangaa mafanikio makubwa ambayo ameyapata ndani ya muda mfupi kupitia muziki wa Singeli hususani kupitia kazi yake ya ‘Hainaga ushemeji’ ambayo imemtambulisha vyema kwa jamii. Man Fongo kupitia kipindi cha Planet Bongo ya EATV alisema kuwa muziki huo umebadilisha maisha yake ndani ya muda […]

Read More..

Rose Ndauka Azindua Lebo Ya ‘Ndauka Music...

Post Image

STAA wa filamu Bongo,  Rose Ndauka, kupitia kampuni yake ya Ndauka Adverts Ltd, leo amezindua  lebo ya muziki iitwayo Ndauka Music ambayo itatoa fursa kwa wanamuziki nchini, hususan wanaochipukia,  ili kujitangaza. Uzinduzi huo ulifanyika ofisini kwake Sinza, jijini Dar es Salaam, maeneo ya Sinza-Afrika Sana karibu na ofisi za Mamlaka ya Kodi (TRA) Mwenge, ambapo […]

Read More..

Z Anto:Nawakubali sana Alikiba na Dully Sky...

Post Image

Msanii Z Anto ambaye kwa sasa yupo katika mchakato wa kutaka kurudi kwenye muziki wa Bongo Fleva amefunguka na kusema kuwa katika wasanii wa Bongo Fleva anaowakubali na kuwaheshimu ni Alikiba pamoja na Dully Skyes. Z Anto alisema hayo jana alipokuwa kwenye kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio ambayo kwa jana ilikuwa ikiruka […]

Read More..