-->

Daily Archives: October 24, 2016

Banana Zorro Afungukia Singeli

Post Image

Hakuna ubishi kuwa muziki wa Singeli umeteka vichwa vya mashabiki wengi kwa sasa nchini. Banana Zorro amefunguka juu ya matarajio ya kufanya muziki huo. Muimbaji huyo ameliambia gazeti la Mtanzania kuwa ana uwezo wa kufanya muziki huo lakini kwa sasa hajafikiria kuufanya. “Mimi nina uwezo wa kufanya kila muziki, lakini Singeli kwangu kwa sasa sijafikiria […]

Read More..

Nisha Adaiwa Kutapeli, Ang’aka!

Post Image

Staa wa sinema za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ anadaiwa kutapeli watu kwa dawa zake za kupunguza tumbo ambapo watu wamedai kuwa dawa hizo hazipunguzi chochote kama anavyozisifia. Kwa nyakati tofauti, watu wamemtolea Nisha malalamiko wakidai kuwa dawa anazozitangaza hazifanyi lolote bali anazitumia kuwachukulia watu fedha zao. “Kiukweli mimi nimetumia dawa zake wala sijaona zikifanya lolote. […]

Read More..

Collabo Yangu na Jay Dee Inakuja – Diamond

Post Image

Baada ya kilio cha muda mrefu kutoka kwa mashabiki waliotamani kuona Diamond Platnumz na mwanadada Lady Jay Dee wakifanya kazi pamoja, wakali hao wa bongo fleva huenda wakaja na ‘collabo’ ya hatari, siku chache zijazo. Hatua hiyo inatokana na msanii Diamond kufunguka kuwa hakuna sababu yoyote inayowakwamisha kufanya kazi ya pamoja, isipokuwa muda na ratiba […]

Read More..

Rose Ndauka Aswekwa Lupango

Post Image

Staa wa Bongo Movie Rose Donatus Ndauka anadaiwa kuswekwa lupango kwa takriban saa nne kabla ya kuchomolewa kwa dhamana. Sosi wetu ambaye ni mtu wa karibu wa Rose alinyetisha kuwa, staa huyo alikuwa kwenye misele na gari lake maeneo ya Kawe jijini Dar ambapo alitanua barabarani hivyo akakamatwa kisha kukaibuka tafrani iliyosababisha kufikishwa kwenye Kituo […]

Read More..