-->

Daily Archives: December 3, 2016

Raymond Amshukuru Diamond Alichomfanyia Kwe...

Post Image

Raymond ameendelea kumshukuru bosi wake wa lebo ya WCB, Diamond Platnumz kwa kile anachomsaidia kupitia muziki wake. Hitmaker huyo wa Natafuta Kiki, amefunguka kwa kuweka wazi kuwa nguo alizovaa kwenye video ya ‘Kwetu’ na ‘Mugacherere’ zilikuwa za bosi wake huyo. Kupitia mtandao wa Instagram, Ray Vanny ameandika: Kwenye Video ya #KWETU Nguo zote Ulinipa wewe!!! […]

Read More..

Crazy GK Sina Mpango Na Diva… Ni Mpenzi W...

Post Image

UNAIKUMBUKA East Coast Team chini ya kiongozi wao Gwamaka Kaihula a.k.a King Crazy GK? Enzi za Ama Zangu, Ama Zao utawataka? Kule alisimama Mwana FA, pale AY, usiwasahau O Ten, Snare, Buff G na wengine kibao kutoka maskani yao  Upanga Mashariki. Kundi hili ambalo lilitesa zaidi miaka ya 2000 wakichuana vikali na Kundi la TMK […]

Read More..

Mshiriki wa Bongo Star Search Aeleza Sababu...

Post Image

Hadi sasa watu wanajiuliza nini kimetokea kwa Kayumba – mshindi wa Bongo Star Search mwaka jana. Mbona kijana huyo alionesha uwezo mkubwa wakati wa shindano hilo kiasi ambacho walimtabiria angekuja kuwa kuwa Diamond wa pili? Babutale, Madam Rita na Kayumba Alitoa wimbo ambao video yake ilifanyika nchini Afrika Kusini lakini haukuweza kufanya vizuri. Na sasa […]

Read More..

Salama Apata Shavu Kuwa ‘HOST EATV AW...

Post Image

Mtangazaji maarufu wa runinga ambaye ni rafiki na kipenzi cha wengi Salama Jabir ataandika historia sambamba na kampuni EATV LTD baada ya kupata nafasi ya kipekee ya kuwa ‘HOST’ wa tuzo za kwanza za EATV Sherehe hizo za utoaji wa tuzo ambazo ni kubwa zaidi Afrika Mashariki na zinafanyika kwa mara ya kwanza , zitatolewa […]

Read More..