-->

Daily Archives: January 7, 2017

Yamoto Band Watoka Mafichoni

Post Image

Mhe. Temba ambaye ni msanii na kiongozi wa kundi la Yamoto Band amefunguka na kuweka wazi mipango ya kundi hilo na kusema wapo tayari kuachia kazi mbili za Yamoto Band ndani ya siku mbili zijazo. Akizungumza na eNEWZ Mh Temba amesema alikuwa na mpango wa kuachia kazi yake lakini inabidi asubiri kwanza Yamoto Band watoe kazi […]

Read More..

Crazy GK: Serikali Iwachukulie Hatua Kali W...

Post Image

Rapper mkongwe nchini Tanzania King Crazy GK, ameshauri serikali kuwachukulia hatua kali watu wanaotumia dawa za kulevya nchini. “Marekani hawahudumiagi mtu mwenye madawa ya kulevya hata angekuwa anagalagala barabarani pale mpaka mwenyewe akajisahihishe na mgonjwa mwingine anahudumiwa bure kabisa,” rapper huyo amemuambia mtangazaji wa Ice Fm, Gami Deetz Alipoulizwa iwapo ni sawa kuwaacha wafe, GK […]

Read More..

Flora Mvungi Afa, Aoza kwa Penzi la Waziri!

Post Image

DAR ES SALAAM: HUKU kukiwa na taarifa kwamba ndoa yake na msanii wa Bongo Fleva, Hamis Ramadhan Baba ‘H-Baba’ imeparaganyika, mrembo wa Bongo Movies, Flora Mvungi amedaiwa kunasa kwenye penzi la mmoja wa mawaziri wa serikali ya awamu ya tano. Chanzo kilicho karibu na msanii huyo kimepenyeza habari kuwa, mrembo huyo kwa sasa yupo chini […]

Read More..

Alikiba Kufanya Tour Nchini Afrika Kusini

Post Image

Mshindi wa tuzo ya mwanamuziki bora wa EATV Award 2016, Alikiba amefungua mwaka kwa kutangaza tour yake ya kimataifa. Muimbaji huyo ambaye mwaka 2016 ulikuwa mzuri kwa upande wake baada ya kuchukua tuzo 13 za kitaifa na kimataifa, tour yake itaanza February nchini Afrika Kusini. “Happy New Year. It’s time to meet my fans across […]

Read More..