-->

Daily Archives: January 15, 2017

Afande Sele Awaomba Msamaha Mashabiki Wake

Post Image

BAADA ya kutangaza kuachana na siasa, mwanamuziki wa Hip Hop, Selemani Msindi ‘Afande Sele’ ameibuka na kuwaomba msamaha mashabiki zake aliowakwaza kipindi yuko kwenye siasa na sasa alivyojiondoa. Akizungumza na Gazeti la Risasi Jumamosi, Afande Sele alisema anawaomba msamaha wote kutokana na kuingia na kutoka kwenye siasa hivyo wamuunge mkono kwenye muziki kwani amerudi rasmi. […]

Read More..

Mafanikio ya Wema Sepetu Miaka 10 ya Ustaa

Post Image

SHINDANO lenye umri wa miongo miwili na tayari limeshatoa warembo kibao, lakini ukweli usio na shaka ni lile shindano la mwaka 2006 lililokuwa na mvuto wenye ladha iliyobeba msisimko wa kipekee. Ni fainali zilizompa Wema Sepetu heshima ya kuwa Miss Tanzania. Lakini pia ni mwaka ambao umewatoa mastaa wengi wa Bongo. Mbali na Wema, wapo […]

Read More..

Shilole Ahusika Kwenye ‘Mjengo’...

Post Image

Mkali wa muziki wa singeli Bongo, Man Fong amemtaja msanii mwenzake wa bongo fleva na bongo movie, Shilole a.k.a Shishi Trump kuhusika katika ujenzi wa nyumba yake ambayo anataraji kuijenga wakati wowote kutoka sasa. Man Fongo aliyekuwa katika mahojiano kwenye kipindi cha Ujenzi cha EATV, amesema mtu pekee aliyemuhamasisha kujenga nyumba ni Shilole, na hiyo […]

Read More..

Video: Show ya Diamond Kwenye Ufunguzi wa A...

Post Image

Jumamosi hii Diamond Platnumz na dancers wake, akishirikiana na wasanii wengine akiwemo Mohombi na Lumino, walitumbuiza kwenye ufunguzi wa kombe la AFCON 2017 nchini Gabon. Tazama video hiyo chini.

Read More..