-->

Daily Archives: January 16, 2017

Said Fella Aota Urais Mwaka 2040 au 2060

Post Image

Said Fella ana ndoto kubwa katika career yake ya siasa. Si tu kwamba anataka aje kuwa mbunge siku za usoni, Fella ana ndoto ya kuwa mkuu wa nchi kabisa. Meneja huyo mkongwe katika tasnia ya muziki wa Bongo Fleva na aliyejitengenezea umaarufu mkubwa kupitia kundi la TMK Wanaume Family kwa sasa ni Diwani wa kata […]

Read More..

Dume Suruali Yavunja Historia ya Mwana FA

Post Image

Video ya wimbo Dume Suruali wa Mwana FA aliyomshirikisha Vanessa Mdee imevunja historia ya rapa huyo kwa kuwa video yake ya kwanza katika historia yake ya muziki kufikisha watazamaji wengi zaidi katika mtandao wake wa ‘You tube’ Video ya ‘Dume suruali’ ilitoka rasmi tarehe 25 Novemba mwaka jana na mpaka sasa imefikisha jumla ya watazamaji […]

Read More..

Lulu Anaweza Kuwa Mkulima – Mama Lulu

Post Image

MAMA wa mwigizaji, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila amefunguka kuwa kama si filamu, mwanaye angeweza kuwa mkulima kama yeye au mwandishi wa habari. Mama Lulu alifunguka hayo hivi karibuni baada ya mwanahabari wetu kumuuliza kuhusu kutoonekana kwa binti yake katika anga la filamu ndipo aliposema kuwa hakumzaa Lulu kuwa muigizaji na anaweza kufanya shughuli nyingine […]

Read More..

Kwa Sasa Hivi Naugulia Moyoni-Jacqueline Wo...

Post Image

Malkia wa filamu Jacqueline Wolper amedai kwa sasa anauguza majareha ya moyo aliyoyapata kutoka kwa aliyekuwa mpenzi wake wa zamani, Harmonize. Wiki moja iliyopita muigizaji huyo aliweka wazi kuwa hayupo tena kwenye mahusiano na muimbaji huyo wa wimbo ‘Matatizo’ kauli ambayo ilileta ukakakasi cha mashabiki wakidhani huwenda ikawa ni kiki. Jumamosii hii malkia huyo wa […]

Read More..

Mzee Majuto Amepanga Kufanya Mambo Haya Mat...

Post Image

Muigizaji wa filamu nchini mzee Majuto amefunguka na kusema kuwa mwaka 2017 amepanga kufanya mambo matatu ambayo yote anataka yaende pamoja. Jambo la kwanza ni kuhusiana na sanaa yake ambapo amepanga kwa mwaka huu wa 2017 kuhakikisha kazi zake za sanaa anazisambaza mwenyewe na kuachana na wasambazaji wengine. Mzee Majuto amesema jambo la pili katika […]

Read More..