-->

Daily Archives: January 17, 2017

Jaydee Afungukia Maisha ya Ndoa kwa Wanawak...

Post Image

Msanii wa muziki wa bongo fleva Lady Jaydee amefunguka na kusema wanawake wengi wanaogopa kuanza maisha mapya ya mahusiano kwani wengi wao wanashindwa kuondoka kwenye ndoa zao ambazo hazina afya. Lady Jaydee alisema hayo kupitia kipindi cha Wanawake Live kinachorushwa na EATV na kusema wanawake wengi wanashindwa kufanya maamuzi kwa sababu hawajiamini na wanaogopa kwenda […]

Read More..

Video: Joti Akiimba Wimbo wa Darassa- Muzik...

Post Image

Mchekeshaji maarufu nchini Tanzania, Joti amerudia wimbo wa mwanamuziki Darassa unaokwenda kwa jina la Muziki. Huu ni wimbo uliofanya vizuri tangu ulipotoka mwezi Disemba mwaka jana hadi sasa. Wimbo huu ni wa Darassa ambapo amemshirikisha Ben Pol ikiwa ni wimbo wao wa pili kuimba pamoja baada ya ule wa Sikati Tamaa. Burudika na video hapa […]

Read More..

Hawa Ndiyo ‘Marapa’ Watano Anao...

Post Image

Rapa Roma Mkatoliki leo kwenye kipindi cha Planet Bongo amefunguka na kutaja orodha ya wasanii wake wa tano wa hip hop Bongo ambao anawasikiliza na kuwakubali zaidi kutokana na kazi zao. Roma Mkatoliki kwa kuanza alimtaja Rapa Roho Saba na kusema anamsikiliza sana na kumkubali sana na watu watashangaa kwanini amemtaja Roho Saba ili hali ana […]

Read More..

Diamond, Zari Walipamba Jarida Maarufu la S...

Post Image

MWANAMUZIKI mwenye taito kubwa kwa sasa nchini na Afrika, mtoto wa Tandale na Mkurugenzi wa Kampuni ya Wasafi Classic Baby (WCB), Nassib Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mzazi mwenzake, Zarina Hassani ‘Zari’ wamelamba shavu kubwa baada ya kuvuta mkataba wa kupiga picha za kupendezesha jarida maarufu la Afrika Kusini liitwalo ‘Papas and Mamas’. Kitendo hicho kimewafanyanyote […]

Read More..

Video: ‘Pacha’ wa Harmonize, Ha...

Post Image

Msanii wa muziki, Hamorapa anayedai ni pacha wa Harmonize ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Usigawe Pasi’ aliomshirikisha Em One. Video imeongozwa na Khero One.

Read More..

Mpoto Atoa Dili Tano kwa Vijana Wasio na Mt...

Post Image

Msanii wa mashairi na kughani Mrisho Mpoto ametoa somo kwa vijana wa watanzania kwa kuwapa njia mbalimbali ambazo zinaweza kuwafanya kujikwamua kiuchumi endapo watazitumia kuanzisha biashara ya kutumia mtaji mdogo au bila ya kuwa na mtaji kabisa. Mrisho Mpoto ametumia ukurasa wake wa facebook kutoa fursa tano ambazo anaona kama vijana watazitumia zinaweza kuwa na tija […]

Read More..