-->

Daily Archives: January 24, 2017

Snura: Natamani Kufanya Shoo, Wimbo au Fila...

Post Image

MWANADADA anayetamba na ngoma ya ‘Shindu’ Mwaga Maji Tucheze Kama Kambare, Snura Mushi (pichani) ameeleza kiu yake ya kutaka kufanya kazi na mwanadada mwenzake Zuwena Mohammed ‘Shilole’ endapo atakuwa tayari. Snura amebainisha hayo usiku wa Jumanne, Januari 24, 2017 wakati akijibu swali kwenye interview ya kipindi cha Redio EFM. Snura amesema kuwa  kwa sasa hana […]

Read More..

Asha Boko: Nipo Tayari Kuolewa

Post Image

Msanii wa maigizo ya vichekesho Asha Boko amesema ameishi katika maisha ya upweke kwa miaka 8 baada ya mume wake kufariki. Akiongea kupitia eNewz Asha amesema aliamua kukaa peke yake baada ya mume wake kufariki na aliamua kulea watoto wake peke yake bila kuwa na baba wa kufikia kwa kuwa aliogopa usumbufu wa wanaume kwani huenda wangewanyanyasa […]

Read More..

Sitatumia Tena Sumu Kuharibu Muonekano Wang...

Post Image

Msanii mkongwe wa muziki Ray C amedai ameupenda muonekano wake mpya huku akijipa mtihani wa kujizua kurudi katika mambo ambayo yalimpelekea kuupoteza muonekano wake mzuri wa mwili. Muimbaji huyo hivi karibuni amekuwa akipost picha zake mpya ambazo zinamuonyesha akiwa na muonekano mzuri hali ambayo imewafanya mashabiki wake katika mitandao ya kijamii kuona kweli mrembo huyo […]

Read More..

Lulu Aanika Kilichofanya Amwage Nay wa Mite...

Post Image

Muuza sura kwenye video za Kibongo na msanii mpya wa bongo Fleva, Lulu Abbas maarufu ‘Lulu Diva’ amefunguka na kuweka wazi kuwa aliamua kumuacha rapa Nay wa Mitego kutokana na tabia zake za hapa na pale. Lulu Diva aliyasema hayo kwenye kipindi cha Planet Bongo ya EATV na kudai kuwa alimua kufikia maamuzi hayo kutokana na […]

Read More..

Haji Manara wa Simba Kumposa Wema Sepetu? A...

Post Image

Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa Simba Haji Manara ameendelea na kueleza hisia zake za kutofurahishwa na shirikisho la soka Tanzania TFF kwa kile anachokiita kutokuwa makini na upangaji wa ratiba za Ligi bila kubadilibadili ambapo ameandika yafuatayo. RATIBA TU NI MUHALI,,HAYO MENGINE KWETU SI BAHARI ??* Haji S Manara. Kuna kurogwa na […]

Read More..