-->

Daily Archives: January 26, 2017

Tunda Man Afungukia Wimbo Wake wa ‘Mw...

Post Image

Msanii wa muziki Tunda Man amedai alisitisha kuachia wimbo wake mpya ‘Mwanaume Suruali’ kama alivyowaahidi mashabiki wake baada ya rapper Mwana FA kumfuata na kumweleza kuwa ana wimbo ambao unaitwa ‘Dume Suruali’ na tayari ameshashoot na video yake. Muimbaji huyo kabla ya kuachia wimbo wake mpya ‘DebeTupu’ toka mwaka 2016 alikuwa anatangaza kuhusu ujio wa […]

Read More..

Queen Darleen Afungukia Mahusiano Yake na A...

Post Image

Msanii wa bongo fleva Queen Darleen amefunguka na kusema kuwa hajawahi kutoka kimapenzi na msanii Alikiba kama ambavyo watu wanazungumza na kusema ameshaambiwa anatoka kimapenzi na watu kibao akiwepo hata Diamond Platnumz ambaye ni ndugu yake. Akiongea kwenye kipindi cha eNewz cha EATV, Queen Darleen amesema mara nyingi watu wakiona anakuwa karibu na mtu fulani huwa […]

Read More..

Mastaa 20 wa Kike Bongo Wenye Followers Wen...

Post Image

Mtandao wa Instagram kwa sasa unaonekana kutumiwa zaidi na watu wengi sio Tanzania pekee bali ni dunia nzima kwa ujumla. Ila kwa Afrika mastaa wa Bongo wanaonekana kupata followers wengi zaidi kwenye mtandao huo wakifuatiwa na mastaa wa Nigeria. Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Bongo5, tumekuletea awamu ya kwanza ya orodha ya mastaa 20 […]

Read More..

Shilole, Nuh Wadakwa Gesti Wapelekewa Kituo...

Post Image

Wasanii wa Bongo Fleva waliowahi kuwa wapenzi kisha kumwagana, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ na Naftar Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ wamekutwa katika nyumba ya kulala wageni kisha kukamatwa na kufikishwa kituo cha polisi kwa madai ya utapeli. Zilipendwa hao walikamatwa na Jeshi la Polisi wilayani Kahama katika Mkoa wa Shinyanga katika gesti iitwayo Mongo baada ya Nuh kudaiwa […]

Read More..

JB Afungukia Soko la Kazi Zake

Post Image

Msanii maarufu wa filamu hapa nchini, Jacob Steven ‘JB’ amefunguka na kuweka wazi kuwa tangu ameanza uigizaji hajawahi kupata changamoto ya soko ya kazi zake kama ambavyo baadhi ya wasanii wa filamu bongo wamekuwa wakilalamika. JB ambaye mpaka sasa ametengeneza filamu zaidi ya 40 ikiwa ni pamoja ya zile kazi alizoziandaa na kuigizwa na watu wengine […]

Read More..