-->

Daily Archives: January 27, 2017

Joslin Atoboa Sababu ya ‘Bifu’ ...

Post Image

Rapa na muimbaji wa muziki wa bongo fleva Joslin ambaye aliwahi kutamba na ngoma kibao kali amefunguka na kusema yeye na rapa Mr Blue walizidiana uwezo kimuziki Joslin akizungumza kwenye kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, amesema hajawahi kuwa na bifu na Mr Blue ila anachojua yeye ni kwamba walizidiana uwezo kwenye muziki kiasi […]

Read More..

Audio: P-Funk Atoa Sababu za Fid Q Kuwa Ndi...

Post Image

Kwa P-Funk Majani, Fid Q ndiye MC mkali kuliko wote duniani. Si Tanzania, si Afrika pekee, Ngosha ni MC mkali dunia nzima. Majani ameimbia Bongo5 kuwa cha kwanza ambacho watu wanapaswa waelewe ni kuwa kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake, ambapo kwa mtazamo wake Fid hana mpinzani duniani kwenye sekta ya uchanaji. “I […]

Read More..

Sina Mpango wa Kubadili Jina – Harmo Rapa

Post Image

Msanii wa bongo flava ambaye ndiyo anaanza kuchipukia, Harmo Rapa, amesema kuwa hana mpango na wala hawezi kubadili jina hilo lililompa umaarufu kwenye muziki kwa hofu ya kupoteza mashabiki wake. Msanii huyo anatamba na ngoma yake inayokwenda kwa jina la ‘USIGAWE PASI’. ametoa msimamo huo kupitia eNewz ya EATV iliyomtafuta kuzungumza naye kuhusu mpango wa […]

Read More..

Video: Vita ya Maneno kati AY na Mona Gangs...

Post Image

Msani wa bongo fleva AY amewataka watayarishaji wa muziki kuwa karibu na wasanii wao kila wanapoenda kwenye ‘tour’ mbalimbali ili kuweza kujifunza mambo mengi zaidi na kuongeza ubunifu. Akiongea kupitia eNewz AY amesema alipotoa hiyo kauli aliitoa kama wazo lakini producer  Mona Gangstar amesema yeye anawaza pesa na siyo kuzurura na msanii ili kuongeza ufahamu wake kwa kuwa wasanii hawapendi […]

Read More..

Video: Harmonize Amlilia Wolper Kupitia ‘...

Post Image

Mapenzi ni kidonda ukiwaza utakonda. Harmonize ameonyesha bado anamhitaji Jacquline Wolper kwenye himaya ya moyo wake baada ya kupigwa kibuti. Baada ya kusambaa kwa taarifa kuwa wawili hao wamemwagana tena huku Wolper akipigilia msumari kuwa jambo hilo ni ukweli mtupu japo Harmo alikuwa akilificha, sasa muimbaji huyo ameanza kuonyesha kuwa jambo hilo ni kweli. Harmonize […]

Read More..