-->

Daily Archives: January 28, 2017

Ommy Dimpoz Afunguka Kuhusu ‘Collabo&...

Post Image

Msanii Ommy Dimpoz ambaye kwa sasa anafanya vyema na wimbo wake ‘Kajiandae’ akiwa na Alikiba amefunguka na kusema hata yeye anaweza kufanya collabo na msanii yoyote yule kutoka WCB. Ommy Dimpoz alisema hayo kupitia kipindi cha eNEWz cha (EATV) na kusema kwenye muziki kuna wakati unaweza kupata wimbo ambao unahitaji collaboration na msanii fulani ili […]

Read More..

Pichaz: Ujio wa Mpya wa Wema Sepetu Instagr...

Post Image

Staa mwenye jina kubwa hapa bongo,Wema Sepetu kwa mara ya kwanza mkwa huu, ameweka post yake ya kwanza kwenye ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram, baada kufuta post zote kwenye ukurasa wake huo wenye followers zaidi ya  milioni mbili na nusu hapo mwezi desemba mwaka jana. Wema amewaahidi mambo mazuri mashabiki wake ndani ya mwaka […]

Read More..

Aunt Ezekiel Ahaha Kuzima Skendo Mbele ya M...

Post Image

UKIGUSA ‘Top 5’ ya wasanii wakike wanaofanya vyema kwenye tasnia ya filamu nchini, jina la Aunt Ezekiel ni lazima liwemo ndani yake. Hii imekuja baada ya kuweza kuhimili mabadiliko makubwa yaliyotokea na kuwapoteza wasanii wengi wenye haiba kama yake. Tulianza kumfahamu pale alipolitwaa taji la urembo jijini Mwanza na kufanikiwa kuliwakilisha Jiji hilo kwenye mashindano […]

Read More..

Chuchu: Mtoto Ameongeza Mahaba kwa ‘Babyâ...

Post Image

MUIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Chuchu Hans ambaye hivi karibuni alijifungua mtoto wa kiume (Jayden), amesema mtoto huyo ameboresha mahaba niue kwa mpenzi wake, Vincent Kigosi ‘Ray’. Akizungumza na Mikito Nusunusu, Chuchu alisema mtoto huyo amekuwa ni faraja kwao wote na mapenzi yameongezeka baina yake na mpenzi wake huyo kitu ambacho anamshukuru Mungu. “Jamani mwacheni […]

Read More..

Wastara Atoboa Sababu ya Kuacha Wanaume

Post Image

Msanii wa filamu, Wastara Juma ameweka wazi sababu kubwa ambayo ilimpelekea kuachana na aliyekuwa mpenzi wake Bondi Bin Salim na kwenda kuolewa na Mbunge wa jimbo la Donge, Sadifa Khamis Juma kisha kuachana naye na kurudiana tena na mpenzi wake Akiongea kwenye kipindi cha Friday Night Live cha (EATV) Wastara anasema aliamua kuachana na Bond kutokana […]

Read More..