Daily Archives: February 3, 2017

Video: MarryYou by Diamond Platnumz ft Neyo

Post Image

Tazama video mpya kabisa kutoka kwa mkali wa bongo fleva ,Diamond Platnumz akiwa amemshirikisha Neyo msanii kutoka kwa Trump.

Read More..

Kamanda Sirro Amtaja Vee Money Ishu ya Mada...

Post Image

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Simon Sirro amemtaja msanii wa Bongo Fleva, Vanesa Mdee ‘Vee Money‘ kuwa ni miongoni mwa wanaotuhumiwa kuhusika na mtandao wa biashara haramu ya madawa ya kulevya baada ya jina lake kuongezwa kwenye orodha iliyotajwa jana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. […]

Read More..

Wema Sepetu: Situmii Madawa ya Kulevya

Post Image

Wema Sepetu anataka kuweka jambo moja ‘very clear’ kuwa yeye si mtumiaji wa madawa ya kulevya. Staa huyo ametoa kauli hiyo baada ya kuwepo kwenye orodha ya mastaa wanaotuhumiwa kubwia unga na walioamriwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kujisalimisha kituo cha polisi central jijini Dar, Ijumaa hii kwa mahojiano zaidi. […]

Read More..

Pichaz: Wema Sepetu na Wenzake Waitikia Wit...

Post Image

Kufuatia agizo la mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kuwataka baadhi ya mastaa wanaoshukiwa kujihusisha na matumizi na biashara ya madawa ya kulevya kuwasili kituo cha polisi cha kati siku ya leo baadhi ya mastaa wametii agizo hilo na kuwasili. Malkia huyo wa filamu ambaye alikuwa mmoja kati ya wasanii waliotuhumiwa na […]

Read More..

Asha Boko Awalilia ‘Comedians’ wa Kike

Post Image

Msanii wa vichekesho Asha Boko amewasihi wachekeshaji wa kike kujitokeza kwa wingi ili kuweza kuchangamsha sekta ya uchekeshaji kwa wasanii wa kike nchini Akiongea kupitia eNewz ya EATV, Asha amesema anashangazwa na uchache wa wasanii wa kike kwenye upande wa Comedian na kuwataka wasiogope kwakuwa hakuna wasanii wa vichekesho Bongo wengi kwa upande wa wanawake. […]

Read More..