Daily Archives: February 4, 2017

IGP Mangu Awasimamisha Kazi Askari Polisi 1...

Post Image

Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Ernest Mangu amewasimamisha kazi askari 12 waliotuhumiwa kujihusisha na madawa ya kulevya wakati uchunguzi ukiendelea. IGP huyo amewaambia wanahabari, Jumamosi hii katika makao makuu ya Polisi huku akisema kuwa Polisi ndiyo chombo kinachoongoza mapambano juu ya madawa hayo, huku akisema kuwa hatua zitachukuliwa dhidi ya askari atakayetuhumiwa. “Tumeamua kuwasimamisha […]

Read More..

Filamu ya ‘Ndugu wa Mume’ Iliti...

Post Image

Filamu ya ‘Ndugu wa Mume’ iliyotoka mwaka jana miezi ya katikati ni moja kati ya filamu bora zililizotoka kwa mwaka huo. Ubora wa filamu hiyo sio tu kwenye ‘quality’ ya picha na sauti, bali ni stori na uwezo mkubwa wa waigizaji wakali waliocheza kwenye filamu hiyo. Filamu imeandaliwa Ommy Clayton ‘Dogo Masai’ ambaye ni muigizaji […]

Read More..

Hii Ndiyo Safari ya Muziki ya Ray Vanny

Post Image

Msanii Raymond alimaarufu kama Ray Vanny amefunguka na kuweka wazi safari yake ya muziki toka ameanza mpaka kufikia hatua kuingia chini ya usimamizi wa label ya WCB Wasafi chini ya Diamond Platnumz. Ray Vanny kupitia kipindi cha ‘Ngaz kwa ngaz’ kinachorushwa na ting’a namba moja kwa vijana anasema mwanzo kabisaa alianza kuandika, akaja kurap kisha […]

Read More..

Video: Mtanzania wa Kwanza Kupata Shavu la ...

Post Image

Muigizaji na mtayarishaji wa filamu kutoka Tanzania, anayefahamika zaidi kupitia filamu ya Going Bongo, Ernest Napoleon, amechukuliwa kusimamia kampuni ya kimataifa ya utengenezaji na usambazaji filamu, D Street Media Group, kama Rais. Bongo5

Read More..

Wema Sepetu, TID na Wenzao Waendelea Kushik...

Post Image

Wakati macho na masikio ya Watanzania wakisubiri kusikia hatma ya wasanii wanaodaiwa kujihusisha na dawa za kulevya, wasanii wanne waliofika Kituo Kikuu cha Polisi bado wanashikiliwa na jeshi hilo kwa mahojiano zaidi. Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Simon Sirro amesema kuwa bado wasanii hao Wema Sepetu, Dogo Hamidu, Khalid Mohamed (TID), […]

Read More..

New Video: Chege Ft Nandy – Kelele Za Chu...

Post Image

Msanii wa muziki Chege Chigunda ameachia video ya wimbo wake mpya, Kelele Za Chura akiwa amemshirikisha Nandy. Video imeandaliwa na Wanene Films chini ya director Destro.    

Read More..

Ray C: Viongozi Wamenipa Moyo Narudi Upya

Post Image

BAADA ya kutumbuiza kwa mafanikio katika kikao cha Kamati ya Ushauri cha Mkoa wa Dodoma (RCC) juzi, mwanamuziki Rehema Chalamila ‘Ray C’, ameweka wazi kwamba yupo mbioni kurudi upya katika muziki wa ushindani kwa kuwa anaamini bado muziki wake una mashabiki wa kutosha. Ray C aliliambia MTANZANIA hayo baada ya kumaliza kutumbuiza nyimbo zake katika […]

Read More..

Harmorapa ni Level Nyingine- P Funk Majani

Post Image

Producer mkongwe na mwenye heshima yake P Funk Majani ameibuka na kumzungumzia huku akimsifia msanii anayeibukia kwa kasi katika bongo fleva, Harmorapa na kusema kuwa rapa huyo ni “level nyingine”. Tangu Msanii Harmorapa ameingia kwenye muziki kwa kuanza kujifafanisha na msanii Harmonize, kila wakati rapa huyo amekuwa akiingia kwenye ‘headline’ mbalimbali na kuzungumziwa na wasanii wengi […]

Read More..