Daily Archives: February 7, 2017

Idris Sultan Afungukia Ishu ya Wema Sepetu ...

Post Image

MCHEKESHAJI maarufu Bongo na aliyekuwa mshiriki wa shindano na ‘Big Brother Africa’, Idris Sultan amefunguka kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa sauti ya Wema ilirekodiwa bila ya Wema mwenyewe kujua. Idris amefunguka kwa wanaokwenda kumtembelea Wema wengi ni wanafiki na wanamalengo yao mengine tofauti na kwenda kumjulia hali Wema. Mpaka hivi sasa sakata hili bado […]

Read More..

Duma Afunguka Haya Kuhusu Picha zake Tata

Post Image

INAKUWAJE Pale ambapo unakuwa na hamu ya kutoka kimapenzi na mtu maarufu harafu hupati nafasi hiyo kufuatia staa unayemtamani yupo kwenye penzi zito na mtu mwingine? Bila shaka picha zake zinaweza kuwa tulizo lako tosha. Ukubwa wa majina ya mastaa unaongeza idadi ya mashabiki wanaotamani kutoka nao kimapenzi ila hawapati fursa hiyo kwa sababu tu […]

Read More..

Picha: Harmorapa Amtembelea P-Funk Majani

Post Image

Msanii mchanga Harmorapa Jumatatu hii alimtembelea producer mkongwe wa Bongo Record, P-Funk Majani nakuzungumza naye mambo kadhaa kuhusu muziki. Hivi karibuni mtayarishaji huyo mkongwe alionyesha kupendezwa na harakati za rapper huyo ambaye amekuwa akizungumziwa kila kukicha. Rapper huyo baada ya kutembelea studio hapo na kukutana na mkongwe huyo alionyesha kufurahishwa huku akiwataka watu kuacha kuongea. […]

Read More..

VIDEO:Wasanii Wanaotuhumiwa Kujihusisha na ...

Post Image

Takriban watuhumiwa 10 wa dawa za kulevya ambao ni miongoni mwa watu waliotajwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu asubuhi hii. Miongoni mwa waliofikishwa mahakamani sasa ni wasanii Rommy Jones, TID, Babuu wa Kitaa, Nyandu Tozzy, Tunda (model wa kike), Lulu Diva, Recho, Joan, na […]

Read More..