Daily Archives: February 8, 2017

Mimi ni Mhanga wa Dawa za Kulevya Mwaka 199...

Post Image

Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) Ubungo-Kibangu jijini Dar, Lusekelo Anthony ‘Mzee wa Upako’ amejitaja kuwa ni mmoja kati ya watu mashuhuri ambao wamewahi kutuhumiwa kuhusika na biashara ya dawa za kulevya. Gwajima amefunguka na kusema kuwa yeye ni mhanga wa suala hilo jambo ambalo lilimpa wakati mgumu sana katika maisha na kumfanya kunyanyapaliwa na […]

Read More..

Serikali Yatetea Ada za Uhakiki wa Filamu

Post Image

Serikali imetetea ada za uhakiki wa filamu zinazotozwa hapa nchini na kusema kuwa ada hizo zipo kwa mujibu wa sheria na kanuni, huku ikifafanua kuhusu utaratibu wa kulipwa kwa ada hizo. Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Anastazia Wambura ameyasema hayo leo Bungeni, Mjini Dodoma alipokuwa akijibu swali la mbunge wa Mafinga Mjini […]

Read More..

Alikiba na Diamond Mjipange – Abdukiba

Post Image

Msanii Abdukiba ambaye ni mdogo wa Alikiba amefunguka na kutoa ushauri kwa wasanii Alikiba na Diamond Platnumz kuwa wanapaswa kujipanga kimuziki na katika kazi zao kwani kuna vijana wengi wanajipanga kuchukua nafasi zao. Abdukiba alisema hayo kupitia kipindi cha ‘Ngaz kwa ngaz’ kinachorushwa na ting’a namba moja kwa vijana EATV, Abdukiba anasema wapo wasanii wengi […]

Read More..

Rais Dkt Magufuli Afanya Ziara ya Kushtukiz...

Post Image

Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza ujenzi uwanja wa ndege na kukuta kazi zimelala  

Read More..

VIDEO: Manji Asema Atakwenda Polisi Kesho

Post Image

Mfanyabiashara Yusufu Manji amesema kuwa atakwenda Kituo cha Polisi kesho kama Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda alivyotaka. Manji amesema kuwa pamoja na kuwa Makonda ametaka wafike Ijumaa yeye atakwenda kesho huku akihoji kuwa inawezekanaje wakaitwa watu 65 kuhojiwa kama hakuna shughuli za kufanya kwa siku nzima. Amesema atakwenda polisi lakini pia […]

Read More..

Huyu Ndiye Mchumba wa Ommy Dimpoz?

Post Image

Msanii Ommy Dimpoz ambaye anafanya vyema na wimbo wake ‘Kajiandae’ wiki kadhaa zilizopita alifunguka na kusema ikifika wakati ataweka wazi suala la mahusiano yake kwa jamii, na kumuweka wazi mchumba wake ili watu wajue. Ommy Dimpoz alisema hayo kwenye kipindi cha eNewz cha EATV wiki kadhaa zilizopita, Ommy alifunguka na kuthibitisha kuwa kwa sasa yupo kwenye mahusiano na raia […]

Read More..

Irene Uwoya Afungukia Wanaume Wenye Sura Mb...

Post Image

Hujiamini kutupa karata yako kwa muigizaji mrembo Irene Uwoya sababu unahisi huna sura nzuri na ya kuvutia? Basi unaichezea bahati yako sababu unaweza kuwa na nafasi kubwa zaidi. Kwa mujibu wa Irene, wanaume wenye sura mbaya ndio ambao huamsha zaidi hisia zake za kimapenzi! Strange, lakini ndio ukweli wake. Muigizaji huyo ambaye ameandaa event maalum […]

Read More..

Audio:Mbowe, Gwajima, Manji Watuhumiwa Kuhu...

Post Image

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam leo ameingia awamu ya pili ya kupambana na dawa za kulevya na ametaja watu wanaotuhumiwa kuhusika na dawa za kulevya kwa namna moja ama nyingine. Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na Mchungaji Josephat Gwajima ni miongoni wa watu waliotajwa katika tuhuma hizo na kuwataka kuripoti kituo kikuu cha […]

Read More..