Daily Archives: February 9, 2017

Wema Aalikwa Kwenye 40 ya Prince Nillan Jum...

Post Image

Kupitia kipindi cha LEO TENA kinachorushwa na CloudsFM Diamond Platnumz akiwa na mpenzi wake Zari, wamefunguka kumpa mwaliko staa wa bongo movie na mpenzi wa zamani wa Diamond,Wema Sepetu kwenye arobaini ya Mtoto wao Prince Nillan. “Namuomba Mungu Wema sepetu amalize tatizo lake salama na yeye tumemualika kwenye shughuli ya Prince NIllan Jumamosi, itakuwa ni […]

Read More..

Mkalimani Feki wa Mtalii Anaswa

Post Image

Mwongoza Watalii (Guide), ambaye anadaiwa kupotosha tafsiri ya matamshi ya mtalii aliyekuwa amemaliza kutembelea Mamlaka ya Bonde la Ngorongoro (NCAA), ametiwa mbaroni. Video ya mwongoza watalii huyo, ilianza kusambaa katika mitandao ya kijamii wiki iliyopita, na kuzua taharuki katika sekta ya Utalii nchini,huku wadau wengi wakitaka asakwe na kukamatwa. Katika video hiyo, mtalii huyo ambaye […]

Read More..

Viongozi wa Dini Waunga Mkono Juhudi za Mak...

Post Image

Baraza la viongozi wa dini la kupambana na dawa za kulevya Tanzania linaunga mkono juhudi za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kupambana na dawa za kulevya. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam Jumatano hii, Mwenyekiti wa Baraza hilo, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadi Mussa […]

Read More..

Gwajima Atinga Central Polisi Dar na Kundi ...

Post Image

Askofu Josephat Gwajima ameripoti katika Kituo Kikuu cha Polisi  ili kuhojiwa baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kumtaja jana kwenye sakata la madawa ya kulevya. Gwajima alikuwa wa pili kuwasili kituoni hapo miongoni mwa wale 65 waliotajwa jana ambapo Mwenyekiti wa Yanga Yusuf Manji aliripoti mapema majira ya saa 4:30 […]

Read More..

Zari Afungukia Mipango ya Harusi Yake na Di...

Post Image

Zari The Bosslady amedai kuwa anataka harusi yake na Diamond Platnumz iwe kubwa na yenye gharama kuwahi kufanyika Afrika Mashariki. Hata hivyo, itafanyika baada ya kuwa wamefanya mambo ya muhimu zaidi ikiwemo kujijenga zaidi walivyo sasa. Akizungumza kwenye kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM Alhamis hii, Zari amedai kuwa suala la kufunga ndoa sio […]

Read More..

Wema Asomewa Mashtaka, Aachiwa kwa Dhamana

Post Image

Msanii wa filamu nchini Wema Sepetu na wenzake wawili wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu asubuhi ya leo na kusomewa mashitaka matatu yanayohsiana na matumizi ya dawa za kulevya aina ya bangi. Akisomewa mashtaka na wakili wa serikali Nassoro Katuga mbele ya Hakimu Mkazi Thomas Simba imeelezwa kuwa msanii huyo alikutwa na kiwango kidogo cha […]

Read More..