Daily Archives: February 10, 2017

Nikki Mbishi Arusha Dongo kwa Nikki wa Pili

Post Image

Msanii wa Hip Hop Nikki Mbishi amemchana Nikki wa Pili na kumuambia kwamba aache kujiita msemaji wa wasanii kwa kuwa yeye ni msemaji wa kikundi kidogo cha wasanii wachache. Akiongea kupitia eNewz Nikki amesema Nikki wa Pili hapaswi kujiita msemaji wa wasanii kwa kuwa sanaa ya muziki ipo huru na kila mmoja anaposema ni msemaji wa wasanii siyo […]

Read More..

Rais Afanya Uteuzi Mamlaka ya Kupambana na ...

Post Image

 

Read More..

Mzee wa Upako Afunguka Askofu Gwajima Kutaj...

Post Image

Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo ‘Mzee wa Upako’ ameshauri kuwapo kwa utaratibu maalumu wakati wa kuwaita kwa mahojiano watu wanaoitwa kwa mahojiano kuhusu dawa za kulevya. Mzee wa Upako alisema hakukuwa na umuhimu wa vyombo vya habari kuhusika katika kuwataja watu hao hasa viongozi wa dini, bali wangeitwa kwa barua maalumu. Alisema […]

Read More..

Prof. Jay Afungukia Muziki wa Hip Hop Bongo...

Post Image

Rapa mkongwe nchini Prof. Jay ambaye mwaka jana alitoa ngoma ya ‘hip hop singeli’ iliyokwenda kwa jina la ‘Kazi Kazi’ ameibuka na kusema wivu wa baadhi ya wasanii wa hip hop Bongo hauwezi kusaidia muziki wa hip hop kufika mbali. Licha ya wimbo huo wa ‘Kazi Kazi’ kufanya vizuri, na kuwepo kwa baadhi ya wasanii […]

Read More..

Kamanda Sirro: Mbowe Asiporipoti Tutamfuata

Post Image

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema kama Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe hataripoti bila kutoa taarifa yoyote ya hudhuru atafuatwa kwa kuwa jeshi hilo linahitaji kumhoji. Kamanda wa kanda hiyo, Simon Sirro amesema hayo leo muda mfupi baada ya Mbowe kueleza kuwa hataripoti polisi kutokana na wito wa […]

Read More..