Daily Archives: February 13, 2017

Wema Sepetu Afunguka kwa Mara ya Kwanza Tan...

Post Image

Staa wa bongo movie, Wema Sepetu ametoa shukrani kwa watu wote waliokuwa naye bega kwa bega tangu ashikiliwe rumande kufuatia kutajwa kwenye orodha ya kwanza ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ya watu wanaohusishwa na biashara ya matumizi ya dawa za kulevya. Wema alitoka kwa dhamana ya shilingi milioni 5 wiki iliyopita baada […]

Read More..

Mume wa Shamsa Ford, Chid Mapenzi Atakiwa ...

Post Image

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameamuru kukamatwa kwa mume wa muigizaji wa Bongo Movie Shamsa Ford, Chidi Mapenzi na kupelekwa polisi. ‘Kuna mtu anaitwa  Chid Mapenzi, huyo nataka  akachukuliwe sasa hivi nimkute  central’-Makonda aliagiza leo hii ikiwa ni muendelezo ya vita dhidi ya madawa ya kulevya. Chid Mapenzi ni mfanya biashara […]

Read More..

Kajala Afunguka Kutomuona Wema Selo

Post Image

Baada ya Miss Tanzania 2006/07 ambaye ni Mwigizaji wa Bongo Muvi, Wema Isaac Sepetu kusota lupango kwa siku kadhaa kufuatia kutajwa kwenye tuhuma za madawa ya kulevya na Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda, kabla ya kupandishwa mahakamani na kuachiwa kwa dhamana, staa mwenzake, Kajala Masanja ameibuka na kufunguka sababu ya kutokwenda kumuona mahabusu. […]

Read More..

TID: Mimi ni Muathirika wa Dawa za Kulevya

Post Image

Mkali wa bongo Fleva, Khalid Mohamed maarufu kama TID, amekiri kuwa mmoja wa mastaa walioathirika na matumizi ya madawa ya kulevya. Akizungumza leo kwenye mkutano ulioandaliwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali, TID amesema yuko tayari kubadilika. “Nimekuwa muathirika wa madawa ya kulevya, nimekuja kama kijana […]

Read More..